Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

huyu dogo anataka £100,000 ambazo hata Mimi sioni kama anastahili kulipwa pesa zote hizo,kwa lipi hasa? Mbinafsi,mchoyo,ridiculous finishing,yaan Ana ujinga ujinga mwingi Tu.,,,binafsi huwa ananiboa Kila dakika anayokuwepo uwanjani

Huyu ni dizaini ya Wright-Phillips wa chelsea na man city, papara nyingiii
 
huyu dogo anataka £100,000 ambazo hata Mimi sioni kama anastahili kulipwa pesa zote hizo,kwa lipi hasa? Mbinafsi,mchoyo,ridiculous finishing,yaan Ana ujinga ujinga mwingi Tu.,,,binafsi huwa ananiboa Kila dakika anayokuwepo uwanjani

Kwa kiasi nakubaliana na wewe. Lakini nikikumbuka Wayne Rooney alipotaka kuondoka Manure huku kiwango chake kikiwa kiko chini, Grazers walimpa mkataba mpya ulioboreshwa. Why? Kwa vile walijua over a period of time he had been and was going to be their top player.

Ni msimu uliopita watu tulikuwa karibia kumwita huyu dogo "a legend in the making" na hatukukosea kwani mwisho wa msimu alikwaa personal award hii hapa... Liverpool star Raheem Sterling receives European Golden Boy award at Anfield after pipping other youngsters to honour | Daily Mail Online

Rooney alipitia route hii hii (soma hapa...Golden Boy (award) - Wikipedia, the free encyclopedia), became a pivotal player and the OT hierarchy saw that and accordingly granted his wish for a pay rise alipotishia kuondoka, hii ni kwa vile waliona umuhimu wa kutengeneza stability kwenye timu and also to show the world how the club valued its important assets.

At the minute, Raheem is one of our best players by a mile. He's just currently going through a patch of inconsistency (just like what happened to Rooney then) but he's a class act and will come good.

Huwaga sipendi kutumia success stories za mahasimu wetu wa jadi (Manure) lakini kwa hili tunalo la kujifunza on how to cling to our best assets.

FSG must step in now kumpa huyu dogo pochi lake, and fast. Otherwise let the bottomless pockets za Waarabu zichukue timu. Mimi I have had enough of these useless Americans!!
 

ndugu,Mimi sina tatizo na dogo kupewa huo mpunga,after all hautoki mfukoni mwangu....tatizo langu kwake naona kama dogo amekuwa over rated Sana imefikia mahali anatukosesha magoli ya wazi,uliangalia ile game yetu na manure? Ya juzi na Bolton uliangalia? Mara ngapi sterling kafanya ujinga waziwazi kabisa....? Yule dogo vyombo vya habari vinpa kichwa Sana...kwa nafasi anazozipoteza angekuuwa anazipata mchezaji kama Teixeira au Joe campell wa arsenal
juzi tungeambulia ile goalless draw against a championship side?
 

British players are overrated
 

Huyo Joe Campbell huko Arsenal amefunga ngapi msimu huu kulinganisha na Raheem??
 
Chifu, mpambano ni kati ya Scholesy na SG...kama unataka kati ya SG na the Architect sema tuuanzise 😎

Kumbe kuna mpambano???

SG ana mpambano gan na scholes??? wa EPL medals?? au upi??

hapo si nimekupa poll hyo au nikuletee zingine???
 
Kama ni kweli, basi amepanga kishabiki zaidi.....

1) Omission ya SG itakuwa ni kutokana na personal bitterness ya usiku wa Instabul 2005.

2) Mimi siyo mpenzi wa C Ronaldo lakini hakuna mtu objective anayeweza kumwengua huyu gwiji kwenye hiyo list

Hyo list ni ya kishabiki sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…