Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Three at the back I don't thing if we have mbadala wa Can kwa sasa. My point was on the long run.
My concerns for UEFA league ni muda mchache wa mazoezi plus jet leg, ila point yako ya kuwa FA ni ngumu ina-make sense...hebu angalia matokeo so far...
Cambridge United 0, 0 Man United
Rovers 3, 1 Swansea City
Man City 0, 2 Middlesbrough
Tottenham 1, 2 Leicester City
Southampton 2, 3 Crystal Palace
Chelsea 2, 4 Bradford
Ai!...kuna watu wamevuliwa nguo...
Nilikuwa nawahofia zaidi ChelShit na ManShit. Wametoka hao nadhani FA tunaweza kuwa na chance.
Advantage ya UEFA ni kuwa tukichukua trophy tunaingia kwenye UCL msimu ujao hata kama hatutaingia top 4.