Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I concur but kuna haja kwanza ya ku-priotize competitions:

1. EPL top 4 - our biggest priority, so I will always deploy the strongest lineup on the pitch

2. Silverware option 1: the most realistic chance is the League Cup, so use the strongest lineup

3. Silverware option 2: should we fail to go past Chelsea in the League Cup, then kuna haja ya ku-shift focus kwenye mojawapo kati ya FA Cup / UEFA League. Mimi naona UEFA is a more realistic possibility, so nitatumia strongest lineup kwenye competition hii and a weakened one kwenye FA kuanzia mechi ya leo vs Bolton.

Now back to your original question....je tuwatumie nani kwenye weakened lineup? My only opinion ni kuwa let's shuffle the pack kuanzia midfield lakini our strongest backline (back 3) should always play no matter what. Why? Because we need these guys to understand one another and gel as a unit over time.

How to shuffle the midfield onwards remains anyone's opinion...

Mkuu Tisha-TOTO comments zako zimekwenda shule.

Baada ya Liverpool kutolewa kwenye Champions League, I had this crazy idea that BR should not emphasize on UEFA League to avoid those thus games sababu lads will always be tired on week-end games na kazi ya kupata nafasi on top 4 kuzidi kuwa ngumu...

I can see that our back 3 is beginning to jelly and they need more game together ila nina wasiwasi skrtel might burnt out...And do you think emre belongs to back three?
 
“Where did I think I’d be? On a beach in Antigua,” Heskey said.

“At 37, would I have been thinking I’d be playing against Liverpool at Anfield? Probably not, but I am going to relish every moment of it."
 
Mkuu Tisha-TOTO comments zako zimekwenda shule.

Baada ya Liverpool kutolewa kwenye Champions League, I had this crazy idea that BR should not emphasize on UEFA League to avoid those thus games sababu lads will always be tired on week-end games na kazi ya kupata nafasi on top 4 kuzidi kuwa ngumu...

I can see that our back 3 is beginning to jelly and they need more game together ila nina wasiwasi skrtel might burnt out...And do you think emre belongs to back three?

Ni kweli mkuu, players burn out ni tatizo kubwa sana so linahitaji proper management by BR.

Mimi nadhani kwenye tournament ambayo tutaamua kuchezesha our weakened team itumike zaidi kama "tizi" tu, kwa maana ya kutoi-stretch sana backline. Kupitia mechi hizi, BR anaweza kuwa anai-set up backline yake katika ku-practice zaidi defensive discipline & organisation (Diego Simeone-esque).

Emre for back 3? Name me a solid plan B and I will glue myself to it!

Mimi nime-opt kwa UEFA kwa vile FA ni competition ngumu sana, hususani ukitizama timu zilizopo humo. I could be wrong though.
 
Team ya leo Mkuu

Mignolet, Johnson, Can, Sakho, Manquillo, Allen, Henderson, Enrique, Coutinho, Lallana, Sterling

Subs: Ward, Lovren, Lambert, Lucas, Borini, Rossiter, Markovic
 
Emre for back 3? Name me a solid plan B and I will glue myself to it!

Mimi nime-opt kwa UEFA kwa vile FA ni competition ngumu sana, hususani ukitizama timu zilizopo humo. I could be wrong though.

Three at the back I don't thing if we have mbadala wa Can kwa sasa. My point was on the long run.

My concerns for UEFA league ni muda mchache wa mazoezi plus jet leg, ila point yako ya kuwa FA ni ngumu ina-make sense...hebu angalia matokeo so far...

Cambridge United 0, 0 Man United

Rovers 3, 1 Swansea City

Man City 0, 2 Middlesbrough

Tottenham 1, 2 Leicester City

Southampton 2, 3 Crystal Palace

Chelsea 2, 4 Bradford

Ai!...kuna watu wamevuliwa nguo...
 
osokonoi Tisha-TOTO
Europa League muhimu sana pia kuwapa hawa unexperienced uzoefu wa mechi za kimataifa

Pia niliwahi soma mahali kuwa BINGWA wa Europa kuanzia mwakani kama HAJA QUALIFY Champion League basi anaingia kwa ubingwa wake(?)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom