Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 221635

Haya sasa...Scholesy huyoooo..

Kwa hiyo Zinedine Zidane hayumo na ww unakubaliana na Pirlo?

Ni mwehu tu atakaye muacha nje Zidane ktk soka la generation hii!Nani hapo wa kumfikia hata nusu Zidane?
Nzi unazidi jitia doa kaka ni bora ukatulia tu
 
Last edited by a moderator:
Who is Pirlo mate????

No, De lima, Zidane, Dinho, Ibrah, Raul, Cr7, etc...then anatuwekea Gattuso na Kina inzagh mbele ya De lima na kina Raul????

HAHAHAHAHAHAHAHAHA!!!

Nimeamini Nzi hajui soka na kaanza kulifuatilia soka hivi karibuni!

Wapi Roberto Carlos,Zizou,wapi CR7?Kama kweli Pirlo ndiyo katoa list hii kichekesho basi kazeeka vibaya!!

Buffon atacheza kwa Neuer?
 
Last edited by a moderator:
Chifu, mpambano ni kati ya Scholesy na SG...kama unataka kati ya SG na the Architect sema tuuanzise 😎

Inzaghi na Scholes wanakuwepo kwenye team ya CL?Boooooooooooooo!

Inzaghi hata kwa Raul hafikii siyo kumlinganisha hata na akina Ibra!Scholes hata kwa akina Alonso na Swain wa Bayern hafikii siyo wa kumlinganisha na SG
 
Kumbe kuna mpambano???

SG ana mpambano gan na scholes??? wa EPL medals?? au upi??

hapo si nimekupa poll hyo au nikuletee zingine???

Oh! Basi..naona umeshasahau!
Wekea wino mweupe hiyo post.
 
Inzaghi na Scholes wanakuwepo kwenye team ya CL?Boooooooooooooo!

Inzaghi hata kwa Raul hafikii siyo kumlinganisha hata na akina Ibra!Scholes hata kwa akina Alonso na Swain wa Bayern hafikii siyo wa kumlinganisha na SG

Sawa basi. SG ameshinda...

Sina nguvu za kuendelea na huu mjadala...
 
Nzi huyu mchezaji wako hata wachezaji 100 bora waliopata kucheza CL hawezi akawemo!

Team ya gwiji Pirlo imejikita kwenye wachezaji mediocre isipokuwa Messi!Yaani Gatusso acheze mbele ya mtu kama Fernando Hierro?Scholes avae jezi nimuweke nje Redondo?

Huu sasa utakuwa ni uwendawazimu
 
Last edited by a moderator:

Gatuso ktk nafasi ya kiungo mkabaji alikua vzr sn....Hierro pia alikua mzuri ktk nafasi hiyo na pia kuna mtu anaitwa Claudio Makelele ktk hiyo nafasi alikua kiboko....lkn ata mimi nashindwa kuelewa kwanini Pirlo amemuacha Zidane ktk hiyo list yake na pacha wake wa Ac Milan Seedorf?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu tuombe tu lisitokee la kutokea tena kabla hajacheza mechi hata moja...maana huyu dogo utadhani biskuti!!

Ahahahahahahahahahahaaaa...dah, huyu jamaa labda acheza kama mechi 6 ndiyo wasiwasi utaanza kutupungua...

Kwenye training, while strikers play against defenders, BR asiruhusu spaghetti boy kugusana na skrtel..:shock:
 
Chelsea vs Liverpool
 

Attachments

  • 1422361026782.jpg
    46.7 KB · Views: 58
  • 1422361040355.jpg
    54.1 KB · Views: 56
  • 1422361054786.jpg
    52.8 KB · Views: 56
  • 1422361069218.jpg
    53.7 KB · Views: 56
  • 1422361091807.jpg
    48.1 KB · Views: 56

Lisemwapo lipo.....yetu macho na masikio!

Real Madrid join Chelsea in hunt for Raheem Sterling after contract | Football | Sport | Daily Express
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…