Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

system ni ile ile tu 3-4-3...hakuna kurud nyuma.!!!!!!!

0-0..we're OUT..haina haja ya kujilinda!

Kweli mkuu, leo ni attack, attack and attack.... lakini balance pia ni muhimu sana. Idea ya kuwa na anchormen wawili pale kati ni nzuri sana especially tutakapolazimika ku-opt for counters kwenye certain stage ya mechi na tactic hii huwa effective sana ugenini.
 
Kufunguka kwa chelsea leo kwa kutafuta magoli hakutawapa nafasi nyie ya kuweza kufunga kwasababu leo BR atakuja na mfumo wa kujilinda sn na si kushambulia sn km alivofanya kwake....na pia leo chelsea watacheza kitimu zaidi ktk kila idara huku ndio kufufnguka ninako kuzungumzia mimi....usitegemee chelsea wawe vizuri kila idara kwa asilimia mia alafu upate goli....hilo sahau kabisa mkuu....yani leo mnapigwa vibaya sn....

Good.....
 
Poa poa Ntunzu!!!Mi naona ningojee 90mins ila kazi tunayo aisee. But football ni mchezo usiohitaji maneno, Natamani tufanye walichokifanya hao watoto juzi hapo darajani

Hakuna shida mkuu, wale watoto ilikua bahati yao tu hivo sizani km na nyie mwaweza pata bahati hiyo....

Tusubri dakika 90 km ulivosema lkn ktk upande wangu timu yangu itakua vzr asilimia mia kwa mia kila idara nafikiri unaelewa nachomaanisha hasa kutokana na jinsi tulivocheza kwenu na kufungwa na watoto juzi.... kazi ipo mkuu....tutegemee kuona burudani safi
 
Ila ni muhimu tuka-play attacking ili kuwafanya wawe more pressured mkuu


Mfumo wowote mtakaoaplly leo darajani mtajikuta mnasukumwa nyuma na kupaki bus tu maana nguvu ya chelsea leo haipimiki....hawa kina Lucas na Coutinho na Hender watapata shida sn leo....Bora muwe mnavizia couter-attack huenda ikawasaidia.
 
Hakuna shida mkuu, wale watoto ilikua bahati yao tu hivo sizani km na nyie mwaweza pata bahati hiyo....

Tusubri dakika 90 km ulivosema lkn ktk upande wangu timu yangu itakua vzr asilimia mia kwa mia kila idara nafikiri unaelewa nachomaanisha hasa kutokana na jinsi tulivocheza kwenu na kufungwa na watoto juzi.... kazi ipo mkuu....tutegemee kuona burudani safi

Sure, tuna tough game!!ngoja tuicheki baadae hope itakua ni burudani
 
Wakuu danny boy leo vp? Manake kinacho miss kwenye line up ya liverpool ni huduma ya huyu jamaa
 
Kuna watu wawili katika team yenu hawa mi binafsi kama fan wa LFC huwa wananikosesha amani wakiachiwa wa perform, uyu Hazard na Fabregas


Mkuu hawa watu hasa Fabregas namna ya kumzua ni shida kwasababu ancheza chini yaani mbele tu ya mabeki zake kwahiyo akiwa anpanda anakuja km anaibia huku akiwa anauface uwamja vzr na kuwaona wachezaji wote kwa ufasaha na ndio maana anaweza kutoa pass nyingi za magoli kwasababu anakua na nafasi kubwa.

Hazard ni mchezaji mzuri kumzuia kunahitaji mbinu za ziada kwasababu amepewa uhuru kuchezea mpira...

Leo kila mchezaji wa chelsea atakua nyota.
 
0497__8108__br-150126-13_970X582.jpg

Kuelekea semi-final
 
Back
Top Bottom