Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Wazima wapendwa humu? Leo ndo leo..
. nawatakia kila la heri pale darajani.
CC😡Malafyale Asprin Ed n Edd nEddy na #LVPfans wote.
anazuga huyo
system ni ile ile tu 3-4-3...hakuna kurud nyuma.!!!!!!!
0-0..we're OUT..haina haja ya kujilinda!
Kufunguka kwa chelsea leo kwa kutafuta magoli hakutawapa nafasi nyie ya kuweza kufunga kwasababu leo BR atakuja na mfumo wa kujilinda sn na si kushambulia sn km alivofanya kwake....na pia leo chelsea watacheza kitimu zaidi ktk kila idara huku ndio kufufnguka ninako kuzungumzia mimi....usitegemee chelsea wawe vizuri kila idara kwa asilimia mia alafu upate goli....hilo sahau kabisa mkuu....yani leo mnapigwa vibaya sn....
Poa poa Ntunzu!!!Mi naona ningojee 90mins ila kazi tunayo aisee. But football ni mchezo usiohitaji maneno, Natamani tufanye walichokifanya hao watoto juzi hapo darajani
Saaafi,utanihadithia kesho leo nimechoka sana sitaangalia game.!!
Ila ni muhimu tuka-play attacking ili kuwafanya wawe more pressured mkuu
Hakuna shida mkuu, wale watoto ilikua bahati yao tu hivo sizani km na nyie mwaweza pata bahati hiyo....
Tusubri dakika 90 km ulivosema lkn ktk upande wangu timu yangu itakua vzr asilimia mia kwa mia kila idara nafikiri unaelewa nachomaanisha hasa kutokana na jinsi tulivocheza kwenu na kufungwa na watoto juzi.... kazi ipo mkuu....tutegemee kuona burudani safi
Usijali mtani ..... tuombe simbachawene asifanye yake
Sure, tuna tough game!!ngoja tuicheki baadae hope itakua ni burudani
Pamoja sn mkuu...muda ndio huo unayoyoma....
Kuna watu wawili katika team yenu hawa mi binafsi kama fan wa LFC huwa wananikosesha amani wakiachiwa wa perform, uyu Hazard na Fabregas