Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hendo tht was a free header daaah
Huyu mtoto Raheem yaelekea anamtia sana hofu Mourinho....hii ni kutokana na BBC pundits walivyo-comment baada ya kupata starting XI ya Chelshit.
Wazeee poleni sana ndo vile tena huo ndo mpira,wazee mlijitahidi kumbana mtu mbavu vilvyo ila ndo hivyo tena mmekosa magoli mengi hamna mmaliziaji mzuri hakuna techniques nzuri ila kiukweli ninyi ni wazuri na mlicheza vizuri.
Cc: Malafyale Ed n Edd nEddy #LVP fans.
Leo sijaangalia hii game,niliepuka kukwazwa na Sterling make nina stress zangu...nimesoma sehemu BR anajisifia wakati kafungwa! Poor him!
Narudia tena, with a better finisher Liverpool wangemaliza hizi mechi na goli nyingi tu..
Hendo tht was a free header daaah
Wazeee poleni sana ndo vile tena huo ndo mpira,wazee mlijitahidi kumbana mtu mbavu vilvyo ila ndo hivyo tena mmekosa magoli mengi hamna mmaliziaji mzuri hakuna techniques nzuri ila kiukweli ninyi ni wazuri na mlicheza vizuri.
Cc: Malafyale Ed n Edd nEddy #LVP fans.
Wazeee poleni sana ndo vile tena huo ndo mpira,wazee mlijitahidi kumbana mtu mbavu vilvyo ila ndo hivyo tena mmekosa magoli mengi hamna mmaliziaji mzuri hakuna techniques nzuri ila kiukweli ninyi ni wazuri na mlicheza vizuri.
Cc: Malafyale Ed n Edd nEddy #LVP fans.
Naomba nijue are you chelsea fan?
Mimi ni Man U bana......
Kwakheri i haten mu vibaya!