Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tumepoteza wenyewe game hii!Nafasi ya RS,Cou na Moreno kipindi cha kwanza ingemaliza mechi hii
 
Huyu mtoto Raheem yaelekea anamtia sana hofu Mourinho....hii ni kutokana na BBC pundits walivyo-comment baada ya kupata starting XI ya Chelshit.


Jose kampuzisha Cahill kutona na game inayokuja kwasababu km kunakua na beki aliepumzika va kutosha inakua kz nzuri kwa Terry kushirikiana....na ukumbuke Jose ktk habari zake kabla ya mchezo wa leo alizungumzia juu ya huyo dogo na akasema ktk mchezo wa kwanza alimuona ktk move aliofunga goli tu lkn hana madhara yoyote.....na kweli leo umemuona kafanya nini huyo dogo?
 

Dada Majogoo yamepigana dakika 120 darajani!Hakika Liverpool ni team nzuri

Tunahitaji mabadiliko kidogo:Baloteli aondoke na Sterling kama hataki kusajili pia andoke

Dan arudi na hata Ings wa Burnley atafaa
 
Last edited by a moderator:
Leo sijaangalia hii game,niliepuka kukwazwa na Sterling make nina stress zangu...nimesoma sehemu BR anajisifia wakati kafungwa! Poor him!

RS kapuuzi sana haka katoto na kaondoke tu!Beki Zouma kaukosa mpira RS kauchukua kabaki na keeper sijui alichotaka kufanya

Moreno kabaki na keeper nae sijui alichotaka kufanya nn kapiga keeper kaokoa

Nafasi nzuri zaidi ni ile ya Coutihno!Kapewa pasi yenye akili na SG kabaki na keeper kwenye 6 badala ya kumchambua kapiga shuti

Liverpool walikuwa bora dimbani
 
Balo, Lambert, Johnson, Allen, Enrique, Brad Jones, Borini ni mizigo

Sterling, Gerro, Lovren, are overrated

Wisdon, Texeirra, Wilson, Ibe need to be back to competing for a starting eleven

Buy two strikers to replace Lambert, Borini, and Balotelle
 

Asante mtani..... mpaka sasa nashindwa elewa tulifungwaje kwenye hii gemu
 
Last edited by a moderator:

Naomba nijue are you chelsea fan?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…