Emre and Sakho wamemsaidia sana Skertel kuwa stable,Leo tulikuwa na game nzuri kuanzia kipindi cha kwanza ila tulikosa mtu wa ku-capitalize zile chances tulizopata kwenye first half ambazo Markovic hakuweza zitumia.
Sakho, amefanya kazi katika ubora wake kabisa aliweza kumdhibiti Carroll kwenye mipira ya juu defensively alikuwa vizuri sana nadhani pengo lake lilionekana kwenye game ya marudiano na chelsea. With Sakho in the first line up hatuconcede goal from set pieces.
Henderson, alikuwa na game nzuri ila sidhani kama ni right man who can take set pieces, he has to improve his shoot quality maana kuna chances kama mbili alitengewa alimrenga keeper, he offers running energy in the midfield.
Countinho, Our little magician alikuwa Man o the match with two assist ana sublime performance kwa jinsi tunavyomtegemea kama opponents wetu wakiweza kumkeep off the game tutastruggle kupata ushindi he's the only attacking midfielder mwenye brain pale, lallana is not at his best
Sterling alikuwa vizuri sana leo, angekuwa na performance kama hii kwenye previous games angekuwa na magoli mengi.
Lucas Leiva, bado nasubiria ile partnership yake na Can
Mignolet, good performance kutoka kwake kama alivyofanya kwenye games vs chelsea anaanza kugain faith na support
BR itabidi atafute njia za kumfanya Sturridge asipate majeraha maana kagoma kuleta Striker anaeendana na timu
Sijapata kuicheki game ya leo wala highlights zake katika pitapita yangu nikakutana na hii comment kuhusu DS
"right footed shot from a
difficult angle on the right to the bottom
right corner"
Inaonekana lilikuwa bonge la goli...!
ni kweli mara aaanzishe topic ameoa,mara ameolewa,mara wafupi wanagegeda vizuri,aeleweki kabisa ni mwanaume au mwanamke au si riziki
Sakho mzuri sana anajua kusimamia nafasi yake na anajiamini,jamaa game ya leo alicheza vizuriEmre and Sakho wamemsaidia sana Skertel kuwa stable,
Ila kwa leo nadhani Emre ndie alikua na jukumu la kumzuia Carroll but Carroll was changing positions (na Valencia) so both Sakho and Emre got involved
Lucas, Emre, Sakho na Skertel wamefanya kipa awe na confidence sana hasa kwenye kona na freekicks
ha ha ha so far best defence
1.southampton
2.chelsea
3.man utd.....yes man utd
4.man city
5.arsenal
so far ndio wamefungwa goli chache kuliko liverpool
hongereni kwa ushindi leo.
Toka aanze kucheza Sakho tuna clean sheet nyingi zaidi ya team yyt ile
Dada naona leo mmeokota pochi haina mwenyewe Ubungo terminal!
Hongereni sana
Last season mlivyokuwa mnamponda Sakho mfululizo humu niliwaambia just wait..a man is an iron...na nikadeclare kabisa how I adore Sakho,nadhani kina MosDef watakuwa wanakumbuka! It's very unlucky hata BR akafuata mkumbo wa pundits na kuamua kusajili LCB,hakukuwa na haja kabisa,we had two CB in Agger na Sakho,ile pesa ya lovren,plus Baloteli tungepata Bonge la striker wa kumsaidia Dan pale mbele.
kuna huyu dogo Ibe,after two years atakuwa matata sana sana! He's superb...akiwepo uwanjani dakika 5 tu,lazima utanotice uwepo wake,dogo ana pace,nguvu,techniques...yaani kwa uwepo wa Ibe,nadhani BR was right to let SUSO go! Let's be honest wadau..Suso angecheza namba ya nani pale? Ibe atakuja kuwa mzuri sana,zaidi hata ya Sterling...