Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sterling 20 years old. Ibe 19. Markovic 20. Can 20. Moreno 22. Coutinho 22. Henderson 24. Sturridge 25. Balotelli 24. Borini 23. Maquinllo 19. Origi 19. Sakho 25. Liverpool have a very young squad. Huge potential.

kwa heshima na taadhima mkuu naomba umwondoe Bolotele kwenye list, hawezi temple ya Liverpool
 
Game ya Bolton kwenye mid-week, lazima Allen aanze Aisee...

Huwez ukamuanzisha Lucas wakat tuna Everton weekend ijayo..

kwa hapo siwez kumlaumu BR kabisa..

TOP FOUR ndo main priority..tuna Everton, Spurs and Southampton mwez wa pili..

Bolton Allen na Lovren waanze!Keeper awe yule dogo na tunawatoa tu

Mbele aanze Balo na Lambert
 
kwa heshima na taadhima mkuu naomba umwondoe Bolotele kwenye list, hawezi temple ya Liverpool

Dont count Balo off!Tumpe nafasi acheze na Dan maana mechi na Tots alicheza vyema sana sababu Dan alikuwepo

Dan anaweza kupangua akampa thru na Balo anajua kufunga
 
hivi with Ibe, Texeira, Sterling na Studge... bado BOLLO ana nafasi?

I'd rather cut my losses and move on
 
Game ya Bolton kwenye mid-week, lazima Allen aanze Aisee...

Huwez ukamuanzisha Lucas wakat tuna Everton weekend ijayo..

kwa hapo siwez kumlaumu BR kabisa..

TOP FOUR ndo main priority..tuna Everton, Spurs and Southampton mwez wa pili..

Wasi wasi wangu ni yeye kufanya ivyo katika epl games, mipango ya BR ni kuondoa kizazi alichokikuta na kuweka cha kwake, uyu Lucas ilikua chupuchupu awafate wakina Agger na Reina
 
Naweza kuwa na remorse kwa hao wengine ila siyo Reina, unakumbuka alivyoondoka kwa mkopo kwenda Napoli alijua atanunuliwa jumla akafanya mambo kama ya Torres.

Lovren na Balotelli walikuwa ni panic buy. Hatukuwa na haja ya kumnunua Lovren wakati tulikuwa na Illori ( trust me huyu dogo anaweza sana na anaweza cheza kama defensive midfielder),Coates kwa umri wao kama wangepata playing time ya kutosha wangekuwa na impact kubwa sana.

Mi naona tunaangaika kutafuta mrithi wa SG ila yupo pale pale Anfield na anachezeshwa kama beki Emre Can, his commanding presence ni huge kwenye timu. Siku akianza kwenye midfield utaona effectiveness yake kama ya kwenye game ya Madrid na Chelsea.
 
hivi with Ibe, Texeira, Sterling na Studge... bado BOLLO ana nafasi?

I'd rather cut my losses and move on

Very true. Which I think is the message BR has been trying to send across over the past few weeks...pissing Ballo off and also trying to open the door to suitors. Lakini nani atamnunua huyu miserable chizi.
 
Game ya Bolton kwenye mid-week, lazima Allen aanze Aisee...

Huwez ukamuanzisha Lucas wakat tuna Everton weekend ijayo..

kwa hapo siwez kumlaumu BR kabisa..

TOP FOUR ndo main priority..tuna Everton, Spurs and Southampton mwez wa pili..

....potential banana skin........
 
Naweza kuwa na remorse kwa hao wengine ila siyo Reina, unakumbuka alivyoondoka kwa mkopo kwenda Napoli alijua atanunuliwa jumla akafanya mambo kama ya Torres.

Lovren na Balotelli walikuwa ni panic buy. Hatukuwa na haja ya kumnunua Lovren wakati tulikuwa na Illori ( trust me huyu dogo anaweza sana na anaweza cheza kama defensive midfielder),Coates kwa umri wao kama wangepata playing time ya kutosha wangekuwa na impact kubwa sana.

Mi naona tunaangaika kutafuta mrithi wa SG ila yupo pale pale Anfield na anachezeshwa kama beki Emre Can, his commanding presence ni huge kwenye timu. Siku akianza kwenye midfield utaona effectiveness yake kama ya kwenye game ya Madrid na Chelsea.
Reina alijitakia mwenyewe
Mrithi wa Gerrard anatakiwa awe kroos,
 
Then alipotolewa kwa mkopo akasema he is going to work with the best manager,ikamuuma BR

Reina wasn't treated right baada ya ujio wa BR, ndo maana he forced a loan move to Napoli,

BR did the same thing to Aquilan, then Carrol, Downing, Adam, Agger and LUCAS alikuwa anafatia..

Carrol hakufanya vizur kumuanika BR kwenye interview yake na "The Sun" ile juzi kabla ya game yetu, but thats BR, hana Courage ya kumwambia mchezaji face to face kuwa hatukuhitaj, atakachokifanya ni kum-slat kwenye media, kama alivyofanya kwa Sakho, Lucas, Agger, Reina last summer, na sahv alifanya kwa Borini, na sasa anafanya kwa MB..hiyo siyo sawa, hicho kitu ndo kilimuuma sana AGGER, mpaka akaiomba FSG aondoke, Coz FSG na kina Ayre hawakutaka kumuachia AGGER..

but you cant blame BR though, he's only 42, he's trying to prove something...
 
Daaah! Huu mwezi haujakaa vizuri...

WED 4
BOLTON VS LIVERPOOL

SAT 7
EVERTON VS LIVERPOOL

TUES 10
LIVERPOOL VS TOTTENHAM

SAT 14 (Kama tukipita kwa Bolton)
CRYSTAL PALACE VS LIVERPOOL

THUS 19
LIVERPOOL VS BESIKTAS

SUN 22
SIUTHAMPTON VS LIVERPOOL

THUS 26
BESIKTAS VS LIVERPOOL

Luckily, we now have bigger squad compare to the last season...
 
Just hoping kwamba form ya liverpool itaendelea hvo hvo +pace ya maana na goal scoring mbna hizi games tutashinda tu,

Back
Top Bottom