Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ojo anaenda on Loan Wigan..
Skysports wanasema West brom are trying kuhusu a loan deal for Rickie Lambert...
Naweza kuwa na remorse kwa hao wengine ila siyo Reina, unakumbuka alivyoondoka kwa mkopo kwenda Napoli alijua atanunuliwa jumla akafanya mambo kama ya Torres.
Lovren na Balotelli walikuwa ni panic buy. Hatukuwa na haja ya kumnunua Lovren wakati tulikuwa na Illori ( trust me huyu dogo anaweza sana na anaweza cheza kama defensive midfielder),Coates kwa umri wao kama wangepata playing time ya kutosha wangekuwa na impact kubwa sana.
Mi naona tunaangaika kutafuta mrithi wa SG ila yupo pale pale Anfield na anachezeshwa kama beki Emre Can, his commanding presence ni huge kwenye timu. Siku akianza kwenye midfield utaona effectiveness yake kama ya kwenye game ya Madrid na Chelsea.
Ojo anaenda on Loan Wigan..
Skysports wanasema West brom are trying kuhusu a loan deal for Rickie Lambert...
Good for him, akapate muda wa kucheza uko
Bora Ojo akapate experience ..
Hii ya Lambert kwangu ni good news akienda
Daaah! Huu mwezi haujakaa vizuri...
WED 4
BOLTON VS LIVERPOOL
SAT 7
EVERTON VS LIVERPOOL
TUES 10
LIVERPOOL VS TOTTENHAM
SAT 14 (Kama tukipita kwa Bolton)
CRYSTAL PALACE VS LIVERPOOL
THUS 19
LIVERPOOL VS BESIKTAS
SUN 22
SIUTHAMPTON VS LIVERPOOL
THUS 26
BESIKTAS VS LIVERPOOL
Luckily, we now have bigger squad compare to the last season...
Just hoping kwamba form ya liverpool itaendelea hvo hvo +pace ya maana na goal scoring mbna hizi games tutashinda tu,
Reina made a silly mistake, amevuna alichopandaReina hakua na shida na LFC wala fans wake kama Torres, shida ilikua kati yake na BR tu pale aliposema anaenda Napoli kucheza chini ya kocha bora anaelewana nae (Rafa). Ila alipotamka hivyo ye alishajua kua hatorudi LFC ndio maana barua yake kwa LFC supporters alisema hajui kama atarudi kucheza LFC. Sasa aliposhindwa kununuliwa uko akarudi ndipo BR alipomkomoa, maana alimpiga bench hadi mechi za pre-season
Sometimes BR ni mgumu mno aiseee