Ibe si alishachezea Derby
Ok. Thanks for the information. Tumekosa mmaliziaji tu. Bora Sturidge naona ana warm up. Tunakosa nafasi nyingi za kufunga.
Hendo sijui atajua lini kufunga
Watani mnatia aibu mno,hakuna mmaliziaji mzuri,madogo wanawatoa nishai.
Shukuruni Sturrige kaokoa jahazi.
Cc Malafyale Ed n Edd nEddy