TO ME GERRO NI MZIGO SO FAR... labda badaeCOU anapiga nzuri sana keeper anadaka
Game plan yao inatuharibia sana, wanamharibia Cou10 kila afanyacho, kila tunapowa attack wanajaa Lundo nusu yao kuziba njia, yani wao wamepanga kushambulia kwa kustukiza tu
LIVERPOOLFC LEO
Thanks!!ngoja tusubiri hizo 90mins baadae