Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pigo kweli kumuona allen... Bora hata angeingia studge ili gerro arudi nyuma

allen ni kiboga
 
Ibeeeeeee la haulaa inagonga mwamba dakika ya 26
Huyu mtoto mzuri sana jamani
 
Game plan yao inatuharibia sana, wanamharibia Cou10 kila afanyacho, kila tunapowa attack wanajaa Lundo nusu yao kuziba njia, yani wao wamepanga kushambulia kwa kustukiza tu
 
Nina imani kubwa anaingia Dan tunamaliza game hii
 
Back
Top Bottom