Liverpool 3-2 Tottenham
BBC Sport
Posted at 21:56
That's nine games unbeaten for Liverpool now. Brendan's got the boys playing well again. Tottenham will feel hard done by though. They continue to look a class act too.
Confirmed : There was a contact, so its a penalty
Nahisi kama kuna penalty nyingine tumenyimwa... right??
Nahisi kama kuna penalty nyingine tumenyimwa... right??
Nahisi kama kuna penalty nyingine tumenyimwa... right??
Kweli, that was a pure offside. Huoni kwamba hiyo inaijenga timu zaidi? Hasa baada ya kushinda?ni kweli, tumenyimwa penati, na wamepewa goli la ofsaidi
si mbaya tumeshinda,
mikonozzzzzzzzzzz
Nahisi kama kuna penalty nyingine tumenyimwa... right??
Yaaa mkuu
Angekuwepo Lucas hawa Spurs tungepiga hata 5
CL mwakani wala haina mjadala!Man u,Man City na Arsenal watagombea nafasi 2 zilizobaki
Doh! Wanavyopanga utadhani wewe ni Sheikh Yahya Jr.
Kwa hiyo loserfools watakuwa wa pili ama mabingwa?!?

Gazeti la Mirror:
Mignolet 7 - Beaten by Kane, but saved well from Bentaleb.
Can 6 - Was drawn out of position for Tottenham's opener.
Skrtel 6 - Booked. Battled Kane and caught out for his goal.
Sakho 5 - Booked. Fell over to let Kane in for his goal.
Ibe 8 - Was always positive and caused Spurs problems.
Gerrard 8 - Booked. Dominant display and took his penalty well.
Henderson 6 - Started quietly before he grew into the game.
Moreno 5 - Did not create enough on the left flank.
Markovic 7 - Opened the scoring with his third Reds goal.
Coutinho 5 - Subdued compared to his dazzling recent displays.
Sturridge 9 - MOTM. Hit the post with a backheel and won a penalty.
Subs
Lovren 6 - Little to do after replacing Gerrard
Balotelli 7 - Unlikely hero with close-range winner
Lallana 6 - Supplied the cross for Balotelli to snatch victory
Thisisanfield...
GK 22. Simon Mignolet 7.3
DF 18. Alberto Moreno 7.2
DF 17. Mamadou Sakho 6.0
DF 37. Martin Škrtel 7.0
MF 23. Emre Can 8.6
MF 14. Jordan Henderson 6.2
MF 33. Jordon Ibe 8.0
MF 50. Lazar Marković (↓80') 7.2
MF 10. Philippe Coutinho 6.1
MF 8. Steven Gerrard (↓69'). 5.7
FW 15. Daniel Sturridge (↓75') 7.0
SB 6. Dejan Lovren (↑69') 6.4
SB 45. Mario Balotelli (↑75') 7.5
SB 20. Adam Lallana (↑80') 7.3
Manure Utd fans wanachekesha sana!
Asa RRONDO unaombea LFC washinde as if Top 4 contenders wanaCare na uwepo wako pale!
Man, Your team is awful!!!