Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Your team is Shit...

Smalling
Blackett
Jones
Young
Valencia
Fellain
Herrera
Di Maria
Falcao
Mata
Rojo
Blind
BUNCH OF AVERAGE PLAYERS]

Punguza stress arifu..utakuja kudanji bure..if United is shite, what is loserfools?
 
Manure Utd fans wanachekesha sana!

Asa RRONDO unaombea LFC washinde as if Top 4 contenders wanaCare na uwepo wako pale!

Man, Your team is awful!!!

The shitty team is third....looserfools fifth,sixth well I don't know...najua huwezi kulala bila kuongelea man utd
 
Last edited by a moderator:
Steven Gerrard ruled out for up to two weeks after picking up hamstring injury in Liverpool's crucial win over Tottenham;

Hiyo ni record kwenye ngazi ya klabu!! Maana United wana deal la £750m na Adidas. Wazee wa kuset benchmarks..

Deal ya Liverpool na Warrior Sport ya miaka sita supposed kuwa na value ya £25m kwa mwaka na sasa deal hiyo imechukuliwa na New Balance ambayo ni kampuni tanzu and got improved na thamani yake itakuwa ni £300 kwa kipindi cha miaka mitatu iliyosalia. That means instead of £25, sasa itakuwa £100m per year.

Manuer signed mkataba wa miaka 10 na Adidas ukiwa na total value ya £750m. That means kwa mwaka manure wanapata £75m while Liverpool watapata £100m.

…deluded manure Fungus!!
 
Moreno try sturdige dance n Sakho laughing together ... Melwood training prepare to face Crystal #FA cup
 
Attachments

  • 1423755306862.jpg
    17.7 KB · Views: 90
  • 1423755325444.jpg
    45.5 KB · Views: 73

Mkuu Osokonoi, hizi zako kwa jamaa ni za uso!!
 
Eh! Kweli Hesabu janga la taifa!!
 
Mkuu Osokonoi, hizi zako kwa jamaa ni za uso!!

Kuna za uso gani hapo...hata kusoma posts zenu wenyewe hamuwezi...

Ebu wekeni link inayosema hiyo deal ni world-record breaking!!

Nimewaambia (na hata kwenye post ya huyo osokonoi imeandikwa, hiyo record katika ngazi ya klabu, yaani loserfools. Hiyo pia ni publicity stunt ya NB, kwani ndiyo kit deal yao ya kwanza na klabu ya soka, kama sikosei.

United ilishaset benchmark kwa kuwa na WORLD-RECORD BREAKING KIT DEAL. Nyiye wengine kazi kwenu...
 
Last edited by a moderator:
Liverpool leo wametangaza kua nivea men uk kua official club grooming partner....YNWA
 
Unapoteza nguvu yako....hao hata kwenye reality wanaweka ushabiki,imeandikwa wazi kabisa 'Liverpool signed a record deal in THEIR CLUB HISTORY' halafu mtu anapayuka eti ndio world record deal!
 
Reactions: Nzi
Unapoteza nguvu yako....hao hata kwenye reality wanaweka ushabiki,imeandikwa wazi kabisa 'Liverpool signed a record deal in THEIR CLUB HISTORY' halafu mtu anapayuka eti ndio world record deal!

Jamaa wana msongo wa mawaza na mihemuko balaa....ila ninawasamehe bure kabisa...
 
Unapoteza nguvu yako....hao hata kwenye reality wanaweka ushabiki,imeandikwa wazi kabisa 'Liverpool signed a record deal in THEIR CLUB HISTORY' halafu mtu anapayuka eti ndio world record deal!

Osokoni ameandika a well detailed observation. Lakini nyie akina nzi, mmeweka mbele zaidi ushabiki.
Liverpool wanapata Dividend ya £100 kwa mwaka, Man U wanapata dividend ya £75 kwa mwaka. Je ni nani aliyesaini the most lucrative deal hapo?
 
WTF!!!??? United deal is worth 750m quids; Loserfools' is 300m quids!

Na hiyo breakdown ya hiyo £ 100m kwa mwaka kajitungia tu, labda atoe link inayotoa huo mchanganuo. Maana nilizoziona hazisemi hayo.

"The multi-year partnership has become the biggest kit supplier deal in the club's history, with New Balance - one of the world's major sportswear manufacturers - responsible for designing the Reds' strips and training apparel."

Hiyo ni quote kutoka

http://www.liverpoolfc.com/news/latest-news/179474-lfc-announce-record-new-balance-kit-deal

Nyiye mna shida aisee...
 
Nimewaambia kwamba NB inaingia kwenye soka kwa kasi sasa...hiyo yote ni publicity stunt...

Kisa mmezidiwa na United basi mnatoa machooo...
 
Mnyonge (BR) mnyongeni lakini haki yake apewe inapobidi!

Wakati BR ameshapata muarobaini, mwenzake Jurgens Klopp bado amebuma Bundesliga.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…