Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Brendan Rogers kaonekana Roma, je ndo plan ya kumleta Pjanic???
 
Happy birthday to Sakho who turn 25 today
 

Attachments

  • 1423857632180.jpg
    1423857632180.jpg
    23.3 KB · Views: 92
WTF!!!??? United deal is worth 750m quids; Loserfools' is 300m quids!

Na hiyo breakdown ya hiyo £ 100m kwa mwaka kajitungia tu, labda atoe link inayotoa huo mchanganuo. Maana nilizoziona hazisemi hayo.

"The multi-year partnership has become the biggest kit supplier deal in the club's history, with New Balance - one of the world's major sportswear manufacturers - responsible for designing the Reds' strips and training apparel."

Hiyo ni quote kutoka

LFC announce record New Balance kit deal - Liverpool FC

Nyiye mna shida aisee...

750/10 =75 per year as a dividends
300/3 =100 as dividends
Nzi hapo juu kwenye uchumi ni Liverpool kafanya vizuri zaidi sababu kwanza deal letu ni fupi so tutaokoa pesa nyingi sana kwenye inflation inayozidi kukua kila mwaka!

Milion 75 leo ni chini ya milion 75 miaka 10 ijayo!!Liverpool tuna deal bora kuliko nyie
 
Last edited by a moderator:
liverpool tuna kila sababu ya kuwa piga hawa palace... Katika game ya Leo..tho tumecheza mechi ngumu mfululizo ila na Imani kubwa kwa game ya Leo tutashinda..... Mdau mmoja atusaide kuchambua game ya Leo wadau....
 
BR alikuwa ROMA, Italy..

Pjanic???!!!!!

Perfect SG replacement!!!
 
liverpool tuna kila sababu ya kuwa piga hawa palace... Katika game ya Leo..tho tumecheza mechi ngumu mfululizo ila na Imani kubwa kwa game ya Leo tutashinda..... Mdau mmoja atusaide kuchambua game ya Leo wadau....

We should rest Coutinho and Moreno!!

I think BR might go with "tricky diamond"..MB and Danny upfront..

Allen and Henderson in the midfield, Or kama atataka kumuanzisha Lovren, Joe Allen should be benched ili CAN aanze kwenye midfield, but naona kabisa Joe akianza leo!

with Lucas and SG both OUT for weeks, itakuwa ni wise move kwa BR kuanza kumtumia CAN katika midfield..(imagine energy itakayokuwepo with Hendo n' Can in the middle)..

Enrique, GJ and Manquilo should be starting kama tutacheza "diamond"

but, our away winning record this seaon ndo imekuwa Bora zaid ya Anfield..so we're winning this!
 
Remember when BR said Allen is a "Wonderful technician"..???
 
Southampton and westHam, walipata kuwa katka 3rd place pia kipind flan..

But table doesn't lie though!!!

That means walikuwa wanafanya vizuri wakati huh...in fact Southampton mpaka sasa wanafanya vizuri zaidi yenu. League table doesn't lie.
 
That means walikuwa wanafanya vizuri wakati huh...in fact Southampton mpaka sasa wanafanya vizuri zaidi yenu. League table doesn't lie.

LIVERPOOL FC in 2015 [EPL]

1. Unbeaten team in 2015

2. Team with Most Points in 2015

But southampton are still a better team than Us!!!!???

Typical busby stuff!!!
 
I'd rather have PJANIC than Nainggolan..coz Signing Nainggolan itakuwa inamaanisha tutakuwa tunamuuza Lucas!!!!????

BR, tuletee PJANIC bhana!
 
LIVERPOOL FC in 2015 [EPL]

1. Unbeaten team in 2015

2. Team with Most Points in 2015

But southampton are still a better team than Us!!!!???

Typical busby stuff!!!

Don't lie to yourself....the league starts from august to may and not Jan 2015....from the start to this point Chelsea,man city,man utd,Southampton,arsenal,Tottenham ARE BETTER THAN YOU! BTW for the last 15 games man utd collected more points than any team in EPL but I can not say man utd is better than Chelsea or man city!
 
Back
Top Bottom