Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I am still confident kwamba today we will play a very good football
 
I hope so, but so far I am not impressed with the quality of football in this match.
mzee hi ni nervous affaair... ni fainali kwa liverpool na hiyo nafasi nne, na ni fainali kwa manure kupata EPL championship!!

I can tell you, kama itaendelea hivi wanaweza kupigana hata nne baada ya mda mfupi maana watachoka sana kwa stress
 
Dakika ian karibia ya 40 bado 1-1 but mpira ume-balance kimitindo, leo namuombea njaa adui ye2 apigwe ili tuwe na gap nzuri kdg.
 
so far we are in control of our performance, but we dont have control of the referee who seems to give every liverpool player a yellow flower as a gesture of love and hate

we are winning this game
 
so far we are in control of our performance, but we dont have control of the referee who seems to give every liverpool player a yellow flower as a gesture of love and hate

we are winning this game

heard of one-eyed supporter??!!
 
MANU 2 L'pool 1 dakika ya 60, park anaziona nyavu.
 
poleni liverpool,mmejitahidi kuleta upinzani,but the league table doesnt lie ur in that position for a reason.i hope u'll get that 4th position.
 
La kwanza refa kawapa penati ya uwongo, Lingine Mkorea aliotea
si mmecheki wenyewe El Nino alivyowatungua kwa kichwa??
-Mdau wa Bwawazzzzzzz....

Picha Credit - Michuzi blog
 
tutake tusitake ... tumefulia na ni may tu hapo rafa aondoke na jamaa zake aisee
 
E bwana ee,what a brilliant goal by Torres..Kwangu mimi hili laweza kuwa goli la msimu

Liverpool 1 Sunderland 0
 
Yes magoli yote mawili matamu leo........First class goals.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…