Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hongereni kwa ushindi wakuu lakini kwa mpira hule mlio cheza leo mkifanya masiala lille watawafunga alhamis.

midfield yenu ilikuwa mbovu sana ,mpira mbovu,zaidi ya babel,torres na maxi sijamuona mtu mwingine yoyote kacheza mpira wa maana.

mna mmiss sana alonso pale kati.
 
Haya tena yule mgonjwa wetu leo ndio anaenda tena kwa mama cheza (physiotherapist) kuangalia kama atakuwa discharged au bado abaki wodini!!!

msikose kuangalia mazoezi leo
 
Haya tena yule mgonjwa wetu leo ndio anaenda tena kwa mama cheza (physiotherapist) kuangalia kama atakuwa discharged au bado abaki wodini!!!

msikose kuangalia mazoezi leo

Heheeeeeeeeee...Tuko pamoja leo,nawaombea mshinde wakuu wangu
 
nadhani Gerald kachoka au zaidi ya mazoeezi inabidi aonane na wanasaikolojia duh. Wamuuze kwa Real waache kumsumbua fabregas kwa umri wake 20-30 mil zinawatosha.
 
naona Riera kaona bora atoe dukuduku lake moyoni lol.

Rafa Benitez has responded to Albert Riera's criticism by leaving the winger out of his squad for the Europa League match against Lille.
Riera
spacer.gif
launched a scathing attack on the Liverpool manager earlier on Thursday after becoming frustrated with his lack of opportunities in recent months.
The Spain international accused Benitez of not communicating well with his squad, saying his 'dialogue with the players is practically nil'.
Riera has made just two appearances since January, most recently coming on as a substitute in last week's 1-0 defeat to Lille.
But he will play no part in the return leg at Anfield on Thursday night as Liverpool look to progress to the quarter-finals of Europe's second competition.
It is understood that Riera will not be considered for Sunday's crucial Premier League encounter at Manchester United
spacer.gif
either.
Although it is not thought to be an official suspension, reports suggest Riera has been asked to stay away from the training ground until Monday.

watalaam wamechukuza wanakwambia liverpool wameshinda mechi mara 2 mbili zaidi Riera akicheza ukilinganisha na mechi ambazo hajacheza.

huyu Riera naona kabeba zigo la Babel sasa lol.
 
Aquilani hata bench hajamweka leo.....nimejuwa kama lazima amchezeshe mwanawe leo Lucas....
 
Mpira wa leo mgumu sana kwa Liverpool kwa sababu wanaangalia sana mechi ya J2.
 
Haijambo kafanya kitu leo Lucas kasababisha penalty..

Haya 1-0 hiyo......
 
Hongereni sana wakuu kwa ushindi mnono wa jana,hope mtarudia kile mlichofanya mwaka 2001 kwenye fainali ya UEFA Cup kwa kuwachapa Alves 5-4 na kubeba kombe...Ilikuwa mechi kali sana hii....Nawakumbuka sana wakongwe Gary McAllister,Markus Babbel,Dietmar 'Didi' Hamann,Robbie Fowler,Danny Murphy,Vladmir Smicer na Patrick Berger bila kumsahau kipa wenu mkali wa kipindi hicho mholanzi Sander Westerveld
 
senksi mkuu

wanasema gangwe lazma afe na mtu... sasa naomba mungu jumapili tufe na manure... wagoshi wanasema kama "kukossa tikose ssote"!!!!

DN
 
Huyo mzee alikuwa wa ukweli sana,nakumbuka kuna jamaa wa ALAVES anaitwa JAVI MORENO alifunga goli 2 zote za freekick
 
senksi mkuu

wanasema gangwe lazma afe na mtu... sasa naomba mungu jumapili tufe na manure... wagoshi wanasema kama "kukossa tikose ssote"!!!!

DN

Tunaomba kila aina ya Dua mshinde mechi hii Jumapili......YES YOU CAN...Chapeni hao Manure

Btw,naona Chelsiki wameanza kummezea mate Elnino....Torres
 
Benfica v Liverpool

Valencia v Atletico Madrid

Hamburg v Standard Liege

Fulham v Wolfsburg
Mnasemaje hapo wanazi wa liver..kwanza adv kuanzia OM
 
Tunaomba kila aina ya Dua mshinde mechi hii Jumapili......YES YOU CAN...Chapeni hao Manure

Btw,naona Chelsiki wameanza kummezea mate Elnino....Torres

....ex mseminari naunga mkono hoja........YES wazee wa bwawa la maini......YOU CAN .........piga hao kina belo as u did to POMPIIIIIIS last week!
 
Back
Top Bottom