asante mkuukaribu mkuu..ynwa.
Allen sio muingereza he is from wales bhana br mwenyewe si muingereza sasa uingereza unaingiaje hapo
Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool
karibu,unashauriwa kukaa kimya uwe unapitia post za wadau hapa kwanza kwa kama wiki mbili hivi,hapo utapata fursa ya kuwasoma wenzio humu na haters pia utawafahamu,ikifikia wakati huo sasa unashauriwa kuanza kuchangia mada,kumquote mtu,nk. YNWA.
Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool
Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool
Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool
Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool
karibu,unashauriwa kukaa kimya uwe unapitia post za wadau hapa kwanza kwa kama wiki mbili hivi,hapo utapata fursa ya kuwasoma wenzio humu na haters pia utawafahamu,ikifikia wakati huo sasa unashauriwa kuanza kuchangia mada,kumquote mtu,nk. Ynwa.
Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool
we mwenyewe unakubali jamaa boya, halafu unataka apangweMKUU ad lin lovlen atakaa bench na bench ndo anazid kuwa mbovu zaid,af kama kujifunza kasha jifunza sababu sio kwamba ni mbovu au hajui nando mana tulifurah usajil wake coz tulijua ni kitasa chamaana so makosa alofanya ni kombinenga na defenderz wenzake haikukaa sawa but nahic atakua kashajifunza kitu na BR atakua kamuweka sawa..itafikia atua tutamuitaj sana ila kwa sababu ya bench basi ndo atakua hana maana kabisa..ITS TYM FOR LOVLEN
Spurs are awful..mambo ya Europa haya!!!!
Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool
Southampton, nguvu yao ipo kwenye kiungo Aisee!!!
Allen hawez kabisa kuwafrustrate kina Wanyama!!!!
Tuna advantage ya kwenda juu ys spurs kama tutashinda game ya leo na tutakuwa 2 points against 4[SUP]th[/SUP] placed man utd and 3 points against Arsenal. Ningependa kuona kikosi kipo hivi
Mignolet
Kolo toure Skrtel Sakho
Ibe Henderson Emre Can Sterling
Countinho
Balotelli Sturridge
Allen should not be fielded because he can not marshal against Wanyama-Schneidrin combination