Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool

karibu,unashauriwa kukaa kimya uwe unapitia post za wadau hapa kwanza kwa kama wiki mbili hivi,hapo utapata fursa ya kuwasoma wenzio humu na haters pia utawafahamu,ikifikia wakati huo sasa unashauriwa kuanza kuchangia mada,kumquote mtu,nk. YNWA.
 
nashkuru mkuu nimekuelewa ntafanya hivyo
 
Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool

Karibu!!YNWA
 
Karibu sana,kuwa huru kuchangia!
Hapa hatuna ubaguzi wa aina yyt ile
 
Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool

karibu sana & u will never walk alone!
 
Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool

Karibu Jamvini Mdau!
 
MKUU ad lin lovlen atakaa bench na bench ndo anazid kuwa mbovu zaid,af kama kujifunza kasha jifunza sababu sio kwamba ni mbovu au hajui nando mana tulifurah usajil wake coz tulijua ni kitasa chamaana so makosa alofanya ni kombinenga na defenderz wenzake haikukaa sawa but nahic atakua kashajifunza kitu na BR atakua kamuweka sawa..itafikia atua tutamuitaj sana ila kwa sababu ya bench basi ndo atakua hana maana kabisa..ITS TYM FOR LOVLEN
we mwenyewe unakubali jamaa boya, halafu unataka apangwe

we need to win, not to try players who have proven to be mizigo

He has only started like 12 games, lakini stats zinasema anaongoza kwa mistakes zilizozaa magoli... nikikumbuka alivyompasia Van Persie, nakosa hata hamu ya kuona jina lake
 
Brendan fucking Rodgers!

What's the catch? DS on the bench vs Saints?? Dejan fucking Lovren starting??

I will be damned....
 
Sijapenda kikosi kinachoanza leo kabisa yaan naona bench ndo limependezeshwa kuliko starting 11, ila hop tunawin hii game
 
Liverpool XI: Mignolet, Can, Lovren, Skrtel, Henderson, Allen, Ibe, Markovic, Coutinho, Lallana, Sterling.
Substitutes: Ward, Johnson, Toure, Moreno, Lambert, Sturridge, Balotelli.
 
Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool

Karibu sana.

With Liverpool fc, You will never walk alone.
 
Sakho hata benchi hayupo,nlipoangalia lineup harakaharaka nikamuona Lovren nilijua CAN amesogezwa mbele,na Allen hayupo,kumbe ni usen** tu,I can't see us winning this game...tukijitahdi sana ni draw
 
Southampton, nguvu yao ipo kwenye kiungo Aisee!!!

Allen hawez kabisa kuwafrustrate kina Wanyama!!!!
Tuna advantage ya kwenda juu ys spurs kama tutashinda game ya leo na tutakuwa 2 points against 4[SUP]th[/SUP] placed man utd and 3 points against Arsenal. Ningependa kuona kikosi kipo hivi

Mignolet
Kolo toure Skrtel Sakho

Ibe Henderson Emre Can Sterling

Countinho

Balotelli Sturridge

Allen should not be fielded because he can not marshal against Wanyama-Schneidrin combination
 
Back
Top Bottom