Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

allen, lallana, lovren...wako chini ya kiwango...Ibe na Starling bado hawajaonyesha cheche zao... Countinho na Hernderson wako vizuri ...
 
We need to work hard and have another goal, ili moja anytime linaweza kurudi
 
Inabidi tukae na mpira aisee, kadri wanavyo kaa na mpira wanakua hatari kwetu na wanakuja kututafuta
 
Hendo kajitahidi kutibua mipango ya Wanyama kama mara mbili tatu hivi, I wish akomae nae mwanzo mwsho
 
allen, lallana, lovren...wako chini ya kiwango...Ibe na Starling bado hawajaonyesha cheche zao... Countinho na Hernderson wako vizuri ...

Henderson runs zake zimetusaidia sana, Countinho haachiwi tena space wanyama yupo nae, halafu Schneidrin anapasha allen is in deep trouble BR afanye mpango Can aende kati
 
Kwa mara ya kwanza leo nimekimbia kuangalia hii game.


Presha si gonjwa rafiki kivile....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…