Sakho out of City clash
Bonge la loss aisee, maana Lovren ni mbovu ni afadhali hata Balo acheze namba tano
Pole sana!nahisi unatamani hata muda wa kazi upite, ila stil there is a second leg!kafanyeni kama mlivyofanya kwa Inter
He is just 22 today and has plenty of future ahead of him, soon the Nigerians will try to persuade to play for Nigeria as they are doing for Jordon Ibe
Mkuu Janjaweed, Lovren ame-improve tofauti na mwanzo, mi nadhani left side doesn't suit him, tangu amerudi kwenye timu na kucheza upande wa kulia kuna some improvement, lets hope for the best
Danny anaboa sana siku hizi..ameanza tena kale ka tabia chake kilichomfanya Man city na chelsea wote wamteme..
Lakini nimeona picha picha kwenye mitandao za balo na danny wakionekana kama masela wa ukweli.. Labda kutumia huu usela wanaweza tengeneza kombineshen ya hatari ndani ya dimba