Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Has Fabinho let Ozil out of his back pocket?
Ukimuacha Sanchez, the rest of Arsenal midfielders are shite

you mean cazorla pia ni shit au kwa mujibu wa mechi ya leo km ni hivyo sawa..lkn si kuniambia
ramsey,cazorla,chambo are shits
 
Kesho pale Atartuk..Henderson..Sakho...Glen & Gerard wote ni injured..Coutinho kapewa rest baada ya kucheza game 19 kwa mfululizo. Enrique na Leiva bado wagonjwa kama kawa...Captain atakua Skrtel.

BR tunaomba tuone combination ya Balo na sturridge itakuaje afu naboeka kuona Raheem akiwa striker..Na pia muweke Emre middle tuone kama yeye ndo mrithi dhabiti wa Stevie G...
 
Balo na DS

Hii combination haitokua coz DS no selfish na balo sio muongeaji kama suarez
 
Danny anaboa sana siku hizi..ameanza tena kale ka tabia chake kilichomfanya Man city na chelsea wote wamteme..

Lakini nimeona picha picha kwenye mitandao za balo na danny wakionekana kama masela wa ukweli.. Labda kutumia huu usela wanaweza tengeneza kombineshen ya hatari ndani ya dimba
 
Wadau leo nimekaa na kujiuliza hivi ni nani atawaongoza wenzake leo kama captain? pale tutakapo shuka dimbani uturuki

Maana ##G8 yuko injury, ##Hendo naye yuko injury, ##Lucas naye nasikia bado majeruhi, ##Sakho naye injury, Labda ## Toure ila sizani kama atapangwa....

YNWA....Skatel!!!
 
Tatizo la Skrtel ni Lugha na upole..lakini yeye ndo alitakiwa awe captain msaaidizi, Hendo naona bado aja mature..Game ya leo yeye ndo captain lakini!!
 
Hivi kumbe skatel lugha ya malkia haipandi?
 
Happy Birthday Tiago Ilori
B-xIp0qXAAAlrtl.jpg large.jpg
 
Wadau leo nimekaa na kujiuliza hivi ni nani atawaongoza wenzake leo kama captain? pale tutakapo shuka dimbani uturuki

Maana ##G8 yuko injury, ##Hendo naye yuko injury, ##Lucas naye nasikia bado majeruhi, ##Sakho naye injury, Labda ## Toure ila sizani kama atapangwa....

YNWA....Skatel!!!

Mkuu, anadhani Skrtel yupo kwenye nafasi kubwa ya kuwaongoza wenzake leo na Kolo Toure kuna baadhi ya ripoti zinasema ataanza na Emre Can ataenda kwenye midfield ku-pair up na Allen. Nina expect line up itakuwa hivi

Mignolet
Lovren Skrtel Toure
Ibe Emre Can Joe Allen Moreno
Lallana Sturridge Sterling

Hii ndo line up BR anaweza kuja nayo leo maana hatuna options zingine ndo maana ameita mpaka U19 ku-fill nafasi kwenye subs, sidhani kama BR anaweza anza na striker wawili mbele leo atataka ku-close up game
 
Back
Top Bottom