nyangelekene
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 481
- 344
Tores,mimi siendeshwi na matukio! Wakati wenzetu wanahesabu trophies,sisi tunahesabu clean sheets na kujisifia! Ridiculous! BR is a championship mediocre team! Ugomvi wangu na BR upo kwenye transfer dealings tu,na ego zake za kijinga! This man has won us nothing! Hizo tactics sijui nin,ndo kazi yake aliyoajiriwa kuifanya pale! Personally I will start rate him as a LFC manager,when he'll win atleast one major trophy,bring in atleast one world class player,make us compete at the highest competitions consistently,na sio kwa kumfunga mid table SOTON tu.
aisee kama umecopy kichwan kwangu af ukapaste kwako....yaan wana liver nikama wamesahu kipind tulichopitia uko nyuma IV KWA MAFANIKIO YA LAST SEASON TULIJUA HUU MSIMU TUTAKUWA TUNAGOMBANIA NAFAS YA NNE??? AAAAHAAAHAAAHAAA..AU TUMESAHAU KUWA UBINGWA ULIKUA NI BONUS NA DIS SEASON NDO UBINGWA NDO YALIKUA MALENGO ?...au atuon kwa MOU alisema last season anaandaa kikosi kwa ajil ya dis season na nadhan mnaona mambo ya livo.
Last edited by a moderator:
