Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Man city must be laughing at sturridge and his stupid game attitude

wamtoe tu waingize yoyote yule
 
Forward line yetu imekosa mpira kwa muda mrefu mpaka wamesahau kukimbia...dah!
 
Yani tuliposhinda moja bila nilijua, kua hii game itakua ngumu, UTURUKI uwa pagumu sana kwa waingereza
 
I dnt thnk kama nlitakiwa kuwa hapa naangali mpira,ila kwa upumbavu wa sturidge kaamua tukeshe poa tu.!!
 
Coach wa BES inaoneka amebadilisha tactics, laying back and surprise with the counter...
 
Hao mashabiki utafikiri wanakaba. Liver wakikamata mpira ni buuu mpaka noma
 
Back
Top Bottom