Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

when i saw Lovren ... nikaanza kucheka

Jamaa ana kimavi kuliko m@vi yenyewe... LOL
 
Hii nafasi kama uyu mtoto angekaza mguu ilikua goli, maana ni ndani ya boksi
 
Poleni sana...ila mwakani mtarudi tena Europa..

Mkubwa hapo una maanisha nini kuwa mwakani watarudi tena?

Poleni sana liver kwa kutolewa
Pazi sisi sote ni ndugu acha kuwa unajificha ficha
 
Last edited by a moderator:
Lawama zangu mi kwa BR na sturidge lovren ni bahati mbaya tu...wala ata secobd half atukutakiwa kufika hii game iilishaisha mapema kbsa.!!
 
To be honest,nilitaka sana tutoke kwenye mashindano haya na thanks god tumetoka,hebu angalieni idadi ya majeruhi tulionao,angalieni fixtures za EPL,kwa timu yetu hii tusingefika popote,sanasana tungeendlea kutengeneza majeruhi na huku ligi inaelekea mwishoni,sasa hivi at least wachezaji watapata recovery time,watajiandaa kwa game moja kwa wiki,etc. SiYAPENDI Mashindano ya EUROPA LEAGUE kwa sababu yanachezwa AlHaMis
 

Tukikaa vibaya hata top4 itapeperuka
 

mkuu hupendi timu yako ikibeba kombe sio...pia vilevile kumbuka ueropa lig ni moja ya njia ya kufuzu champions league endapo mngebeba hlo kombe ilhali kwny top four hakueleweki
 
Dah fans wao walikamia kuzidi wachezaji wao eti "Welcome to Hell"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…