Daaah jamani Sterling hili bao jamani
Yani game na City siku zote tunapoteza kwa kushindwa kutumia nafasi tunazozitengeneza, uyu Sterling anafanyeje pale??
That should have been a brilliant goal...shame!
Sterliiiiiiin...namna gani pale! aaah
Yea it was a very clear chance to make it 2-1 before HT
Lovren naye anaye wenge sana anakaba tu kwa macho naona city wana2mia upande wake sana, coutinho yuko vizur sanaaa
Sterling or Cou to Score!!!!
Lovren naye anaye wenge sana anakaba tu kwa macho naona city wana2mia upande wake sana, coutinho yuko vizur sanaaa