Hongereni sana
Asante sana watani zetu liver kwa kutusaidia kuongeza pengo la uongozi wa ligi. Mwaka huu the blues tunatangaza ubingwa mapema sana, misa ya kwanza.
Sure nilitegemea mpira ulipotoka upande wa kushoto LOvren azibe ndani mahali ambapo Dzeko alikua akiomba. Hata CAN alikua na nafasi iyo