Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Asante sana watani zetu liver kwa kutusaidia kuongeza pengo la uongozi wa ligi. Mwaka huu the blues tunatangaza ubingwa mapema sana, misa ya kwanza.
 
article-2973279-2635EAF700000578-352_964x386.jpg
 
Pamoja sana liver, mmemaliza kazi yenu. Bado sisi the blue tuwakanyage spurs tuchukue kombe letu leo. The blues oyee!
 
Mourinho na vijana wake sasa wakamate fursa na wachanje mbuga kwa kasi. Thank you Liverpool. Hii morale boost itaanza kufanya kazi leo kwa Totenham
 
Back
Top Bottom