Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpo hivyo mkuu. Mkiprioritie kucheza attacking football mnapoteza unity yenu.Hamchukui risk nyingi kushambulia timu. Ndio maana hampotezagi mechi nyingi. Ni mara chache utakayoona Chelsea wanacheza kama walivyocheza Liverpool. Ukiondoa Hazard na maybe Cesc wachezaji wengine akili ipo defending.
Nami wala sijaichukulia ubaya...nimeongea kwa kuwa kuongea ni kawaida kwa mtu anayeweza kuongea, au siyo?
Mimi nimeshaweka bet na mloserfool Malafalye...na naweka na maloserfool wote humu sasa kwa kuweka hela, nyiye hata msiweke chochote..
Liverpool ikamaliza juu ya United msimu huu, licha ya kupigwa ban ya mwaka mzima kwenye jukwaa la United, nitawapa washabiki wa Liverpool US$ 100 wa jukwaa hili

Sasa kwa wagonga nyundo ndo tukacheze kwa kujilinda au vp? Chelsea iko tofauti ktk huu ujio wa pili wa Jose hawapaki basi sn vile ni timu ambayo inacheza mpira ambao unapendeza kutizama sio km miaka ile...
Leo utaona mpira safi sn na ninafikiri utakuja kuniambia hapa baadae.
Strong Young Raheem Sterling :flypig:
Hivi manchester yako huwa unaiangalia huku umefumba macho nini????
Asa ile nayo ni TEAM ya kutunishia watu Kifua????
Nakumbushia maneno ya mkuu MosDef