Liverpool FC (The Reds) | Special Thread




Sasa kwa wagonga nyundo ndo tukacheze kwa kujilinda au vp? Chelsea iko tofauti ktk huu ujio wa pili wa Jose hawapaki basi sn vile ni timu ambayo inacheza mpira ambao unapendeza kutizama sio km miaka ile...

Leo utaona mpira safi sn na ninafikiri utakuja kuniambia hapa baadae.
 

Hivi manchester yako huwa unaiangalia huku umefumba macho nini????

Asa ile nayo ni TEAM ya kutunishia watu Kifua????
 

Sawa mkuu tumekusikia vyema sana
 

Mpira wa kupendeza kwa kupanga defensive minded midfield wawili wawili kila mechi Matic, Ramirez, mikel,Willian. Willian kabla ya kuhamia Chelsea alikuwa very attacking minded Jose kam-badili na kuwa false Defensive Mid. Nakubali kuna tofauti kati ya Mourinho 1 na Mourinho 2.
 
Hivi manchester yako huwa unaiangalia huku umefumba macho nini????

Asa ile nayo ni TEAM ya kutunishia watu Kifua????

EPL table doesn't lie chief...na ilikupiga 3 nil ikiwa shaky shaky...
 
Mie mpaka hapa tulipofikia kwenye msimu huu kama kuna Manager ambaye anastahili kupewa tuzo ya kuwa Manager of the year basi ni Brendan Rodgers. Jinsi Liverpool walivyoaanza vibaya msimu huu na kuwepo katika nafasi waliyofikia leo hii jamaa anastahili pongezi nyingi na sitashangaa kama wakiwemo katika tatu bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…