Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huu mfumo unamtoa kabisa Sturridge ktk team, kila akigusa anaonekana kama yeye ndio anaharibu move
 
Aaaaah!!!
Sturridge tatizo lake ule mguu umemkaa kwa 90%
 
Kipa wa Burnley kafanya kazi nzuri sana kwao, ameokoa sana kwao
 
Presha ipo juu halafu huku nilipo hakuna TMJ Hospital...! Likipatikana goli la pili ndo ntatulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…