Sturrridgeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee 2-0
La pili tayari
Mkuu asante kwa updates... nimetulia sasa.
Endelea kutujulisha sisi ambao tupo maporini.
Kweli kabisa huu mbanano wa point GD ni muhimu kutubebatunaitaji goli za kutosha kwa kweli hasa zikiambatana na clean sheet kuongeza goal difernce zetu
Kweli kabisa huu mbanano wa point GD ni muhimu kutubeba
Mkuu!!!Hiii kheri naona itafika hadi darajaniTuwekuwa marafi baada ya kumpinga mwedawazimu anayetufukuzia! nawatakia kila la kheri! lakn hyo kheri msilete darajani