MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Mr. Wise usichanganye Mambo Hapo Mkuu!!!!
LFC iliingia kwenye Market kabla ya WC Mkuu, Lallana, Lovren, Moreno, Emre Can wote tulianza nao Kabla ya WC (negotiation na Clubs zao)..
Target Kubwa ya BR as LS7 replacement ilikuw ni Di Maria na Pedro (sana sana Di Maria)..msome Tony Barret vizuri..Di maria rejected us, coz alihisi atapewa mkataba mpya na Madrid, na hii ilikuwa ni kabla ya kombe la dunia, then BR decided kuOpt kwa Pedro, ambapo aliambia Only Febregas ndo anapatikana, kipind hicho Ishu ya Sanchez ilikuwa bado Haijawa clear, BR hakuwa na issue na Fabregas, kama unakumbuka BR alikuwa anatafuta mchezaj wa kutokea Pembeni, then baada ya kombe la Dunia kuanzia, ambapo Wenger alikiwa Brazil kama pundit, rumours zikaanza kuwa Wenger kakutana na Sanchez Brazil, baadae ikaja kuonekana wenger alikutana na Agent wa Sanchez pia (watu wakafikiri ni Rumours tu za kawaida)..but baadae zikawa kweli ni kwa Arsenal na Juve ndo clubs za kwanza ambazo ziliongea na Sanchez, na Juve ndo ilikuwa team ambayo Sanchez anataka kwenda, kilichowashinda Juve ni fee, then baada ya Ishu ya Suarez kwenda Barca kuhot Up, FSG demanded £75m, barca wakasema hawana, BR asked for pedro again, JE akachomoa kuhusu Pedro, tena safar hii akaambiwa Fabregas na Sanchez ndo wanapatikana, hapo BR akaopt kwa Sanchez, which ilikuwa ni late tayar, coz Wenger alikuwa anasubiri kubid tu, Na Tony Barret hata James pearce wanasema Sanchez hakupenda idea ya kuwa mchezaj wa mabadilishano, but hicho kilikuwa ni kigezo kidogo sana, Nakumbuka Mpaka mwisho Juve walijitoa zikabaki Arsenal na LFC, baadae Sanchez aliporud Spain, BR aliomba kuongea nae, Agent wa Sanchez akasema tayar tushachelewa coz kulikuwa na makubaliano na Arsenal (zilikuwa ni tricky za Agent ili kuendelea kusikilizia mshahara wetu) na alichokuwa anakitaka Sanchez kutoka kwa LFC ni offer ya mshahara tu, ambapo we offered the same kama Arsenal, Na mida ya saa 12, Ben Smith wa BBC akareport kuwa "liverpool have all but given up on Sanchez"...na ni baada ya kushindwa kumconvince katka wages!! NA UKWELI NI KWAMBA SANCHEZ's PREFERED DESTINATION ILIKUWA NI JUVENTUS, sema tu Juve walishindwa kuiconvince Barca kwenye fee.
Usiku, Ule ule akina James Pearce, Tony barret na Neil jones wakatumwa waje kureport kuwa "sanchez kachagua Arsenal kwasababu ya Grographical factors" kwamba girlfriend wake alitaka kuishi london (huyo demu wake mwenyewe wameachana sahiv)...
Hizo ulizozitoa hapo, ni interviews baada ya kumkosa Sanchez, we needed atleast a proven player baada ya kuondoka LS, ndo maana BR aliulizwa hayo Maswali, na ni majibu ambayo kila Kocha angeyajibu!!!!
Moreno, tulianza na Seville kufanya Negotiations kabla hata ya WC, lakin deal yake imekuja kukamilika karibia mwisho wa Transfer Window...
Kama unafatilia Presser za BR, utajua kuwa hakuna kitu kilichomuumiza na kumkera BR kama kumkosa WILLIAN kipindi kile, aliwafungukia mpaka FSG kipind kile, Na hii ni baada ya kumkosa MK..
Alex Ferguson, Was once quoted akisema "Steven Gerrard is one if the Best midfield in the World" usingetegemea hayo maneno kutoka kwa Fergie..
So BR kumsifia Sanchez, it doesnt mean kwamba alikuwa anamtaka saaana, Coz hata wakat yupo Swansea Alishawahi kumsifia sana MB (quotes zake nilishawahi kuziweka humu)..
Kuhusu LFC NEWS hawa ndo LFC reliable Local Journals (wanatumwa na Club/wapo karibu na Club)
1. James Pearce (LiverpoolEcho)
2. Tony Barret (The Times)
3. Paul Joyce (express)
4. Neil Jones (Echo)
5. Bascombe (Telegraph)
6. James Carrol (LFCTV)
Pia kuna Hawa. (reliable ITK's)
1. Joseph Musker (most reliable)
2. John Smith
3. Graeme kelly.