Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Umehoji kuwa Kama hizo stats nmezitoa twitter, me nikakujibu nikakwambia ni reddit hao, (sikukwambia kuwa hiyo ni website inayodeal na Stats) ni kwamba nilikuwa nataka nikuoneshe kwamba Syo twitter, na kwann nimetumia Comments, za kwenye reddit?? ni kwasababu wameleta overall ya long balls, na siyo per Game, coz squawka na Whoscored, wameziview per game!! (ni kitu ambacho ulitakiwa uelewe tu kirahisi)..
Uliandika hivi, "reddit hao wewe, acha Masikhara!" Tafsiri rahisi ni kuwa unaiaminia hiyo reddit! Usijitutumue, saa zingine kukubali kuchemsha ni uangwana, kuliko kuendelea kujivua nguo!!
Whoscored na akina squawka wanatoa pia stats za msimu mzima, ni namna ya wewe kuziomba hizo stats katika webpages zao.
Manure wanaongoza kwa Kwa pass Success, (ndiyo nakubali) na tukitoa ushabiki, ni kwamba most of passes zinachezwa katika backline na kwenye middle, (main link ni Blind), Na nadhan unaelewa Action point yenu katika position, umiliki wa mpira ni kwenye backline na kwenye Midfield (again main link ni Blind)..tunaposema kuwa Manure inaongoza kwa long balls, hatuna maana kuwa hauchez short passes, NO, short passes unacheza, na Pia una average kubwa ya long balls per game, kuliko team zote EPL, bar Burnley, ambao wanaAverage ya Long balls 80 per game, na Manure ni 78 per game, Hicho ni kiasi kikubwa, na ndo kinakufanya uonekane ni team ambao inapenda kutumia long balls, Kama ishu zikiwa tight uwanjani (hakuna ushabiki hapo) hata kwa Crosses, Manure ni ya PILI nyuma ya Southampton, (hakuna ushabiki hapo)..
Yote umeongea lakini, stats ambazo uliziweka mwenyewe kutokea reddit zinakuumbua! Hawezi kuilable timu kuwa ni ya long balls, wakati long balls zinachangia asilimia 14.1 tu ya total passes. Sasa nani anapaswa kuambiwa weka ushabiki pembeni?
Manchester United: 1696 long balls, 12060 total passes - 14.1% proportion of total passes
Pia unasema United ina average 78 long-balls per game! Ina maana katika mechi 28, United imecheza long-balls 2,184? Mbona stats mlizotoa zinakinzana na mnachokiandika?? Nyiye wa wapi?
Vilevile, tusiendelee kubishana, jambo la msingi ni moja: mimi nimeleta stats zinazoonyesha pass-success rates na ball possession katika mechi so far. Nyiye mnazi-undermine kwa kusema kuwa hizo zinatokana na United kucheza backline na sideway passes, sawa. Ebu, leteni stats zinazoonyesha pass-success na ball-possession kwenye forwardline.
Maana nafikiri naongea na watu ambao mpira wanauangalia tu kwenye Tv na majukwaa ya washabiki.
Na tangu lini LONG BALLS zikacreate Range nzuri ya passes uwanjani??? (ushaona wapi) ndo maana nimeishangaa argument yako hapo kuhusu Comment ya kwenye Reddit,
Manchester United: 1696 long balls, 12060 total passes - 14.1% proportion of total passes
Maskini! Hivi hata unaelewa hiyo sentensi iliyopo kwenye reddit ina maana gani? Nilimuuliza Morinyo kuwa kama timu inaitwa eti ya long-balls, iweje iongoze kwenye pass-success rates na ball possession? Ni vyema kuwa link uliyoileta mwenyewe inawaumbua. Ndiyo maana inaonyesha ni namna gani long-balls ina nafasi ndogo sana katika total passes za United. Kwa maana nyingine statistically ni almost siyo significant. Katika passes 12,060 ni passes 1,696 ndizo zilikuwa long-ball passes. Sasa hapo kuna mjadala kweli?!?
Long balls, si ndo zinazowanyima uwezo kina Di maria, kutanuka na kukimbia kwa nafasi, coz unapoamua kucheza kwa long balls, Inamaana Target yako inakuwa ni kwa watu flani tu, hence unampa wakat mgumu Di maria kufungua na kuoperate kwa uhuru (ana limited Role uwanjani chini ya LVG)..
Ebu acha kubwabwaja. Long balls zinachangia asilimia ndogo sana ya staili ya uchezaji wa United. Stats ulizozileta zinakuumbua. Usijifanye kuijua sana timu. Asilimia 14.1 kati ya 100 haina msingi wa kujengea hoja zenu za kuilable United kama long-ball team!!
Katika Dunia ya Mpira huwezi kuitwa "Pass Master" kama unacheza "Back passes na Square passes" ndo maana BLIND ana 90% pass Accuracy lakin ni sideways pass ambazo haziisaidii team kufungua mashambulizi, NATOA USHABIKI kuhusu CARRICK leo, yule Aliitwa "pass master" kwasababu most if his passes ni "Forwad Passes" ni rahis kufacilitate Attacks, LFC kuna mtu anaitwa Joe Allen ni mmoja kati ya wachezaj wenye Pass Accuracy nzuri sana kwenye EPL, lakin square passes, hazisaidii team,
Hili la pass master limetoka wapi? Vyovyote vile ilivyo, chifu katika mpira passes zote, ziwe za kwenda mbele ama kurudi nyuma zinahesabiwa katika stats. Kama ndivyo, magoli yafungwayo na mabeki yangekuwa hayahesabiwi, kwani kazi za mabeki si kuokoa mipira isiinge golini bana?!? (Sijui kama mtanielewa ninachokisema hapa).
Ndo maana Unakuta zile "through balls" ni chache sana per game kwa Man utd, (2? per game) ukitegemea kuwa una Di maria, Mata, Etc kwenye team, kwanza unapendelea sana unatumia sana upande wa kulia kusukuma Mashambulizi (kwanini)..kwann usifacilitate attacks kutokea katikati???
Narudia tena kuwaambia, msijifanye mnaijua sana United. Stats don't lie chief.....
[h=2] Manchester United Characteristics [/h] [h=3]+ Strengths[/h] [TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Shooting from direct free kicks
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Finishing scoring chances
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Creating long shot opportunities
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Creating chances using through balls
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Stealing the ball from the opposition
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: grid"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"][h=3]Manchester United Style[/h]
- Possession football
- Attempt through balls often
- Control the game in the opposition's half
- Attacking down the right
- Aggressive
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]
Source: Manchester United Football Statistics | WhoScored.com
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ikiwa unawin possession kirahisi??? na kwanini team inayocheza Counter attack football ni rahis sana kuifunga Manchester??? kwanini inakuwa tabu kwa Falcao kupata mipira??? kwanini attacking force ya Manchester ni mbovu???..nataka nikwambia kitu, Di maria tangu porto used to operate from wings na mpaka Madrid ni hivyo hivyo, alivyokuja Bale, Carlo alimwamisha katikati zaid, he was operating nyuma ya Bale, ronaldo na Benzema, na he was at his best, coz hakuwa na LIMITED ROLE UWANJANI...Di maria akipata mipira siku hizi anakimbia zaid kwenye flanks na kupiga cross, chance nying za kufunga zinamkuta akiwa Out of position, (haelewi anachezeshwa role gani) haelewi anafanya nini uwanjani..na kwa perfomance yake ni easy sana kumlabel kama FLOP!!
Chifu, acha kukariri formation na uchezaji wa mchezaji kama msahafu. Hayo mambo ubadilika kutokana na mfumo wa timu na kocha husika. Ronaldo alipokuwa United na hata alipo Real saivi upangwa kama left-wing forward. Je, ndivyo anapocheza mechi nzima? Formation katika mpira siyo static kama unavyotaka kuaminisha hapa. Vivyo hivyo kwa Messi ambaye kwenye formation anaonekana yupo kwenye right wing-forward, lakini je, ndivyo anavyocheza muda wote? Aisee mbona unaongelea soka la kishamba hivyo arifu? Formation na playing style ni dynamic na flexible sana kutokana na mazingira ya uchezaji. Hayo mambo ya kusema eti Di Maria aoperate kutoka kwenye wings, oh sijui nini na nani, ni ya soka la kizamani.
Ukiwa unaongea hapa usilete stori za vijiwe vya kahawa. Ebu leta stats za kuonyesha timu zinazocheza counter attacks, na ambazo zimeifunga kirahisi United.
Attacking force ya United ni mbovu based on what benchmark? Loserfool ama?
Wewe jamaa unabwabwaja balaa....leta stats za kuonyesha jinsi Di Maria anavyokimbia kwenye flanks kila akipata mpira. Halafu pia hii ni self-contradicting tena: utasemaje anakimbia kwenye flanks ilhali huko ndipo anapocheza mara nyingi? Na kwanini asifanye hivyo kama huko ndipo strenghts zake zipo zaidi kuliko sehemu yoyote ya uwanja? Yeye anapenda kucheza crosses na mara nyingine ku-cut inside, sasa kuna ubaya gani akienda sehemu ambayo anafahamu ata-fulfill his true potential? Na ushasema kuwa he used to do that since when he was in Porto?? (ona sasa Di Maria hajawahi kuchezea Porto arifu) Nawaambia msijifanye kuijua United, mnajivua nguo.
Sawa kama flop ana assists nane, making him second-tie kwenye league, sawa. Msimu wa mwisho alipokuwa Real, kwenye La Liga msimu mzima alikuwa ana goli 4, sasa United ana goli 3, ligi haijaisha. Msimu mzima wa La Liga alikuwa ana assists 17, sasa United anazo assists 8. Sasa sijui kuitwa flop kunatokana na benchmarks zipi?!?
Me naujua Mpira, Di maria na Falcao washapaniki sahiv..
Sawa basi....siwezi kujadili hili suala unalolitazama kinazi.
Huwez kucheza "diamond" (4-4-2) ukamweka Di maria Pembeni Aisee (Carlo atakuwa anacheka sana).. 4-3-3 ndo unamweka Di maria Pembeni!!
Hilo la formation, siyo msahafu huo. Formations ubadilika kwa mazingira ya timu pinzani na uchezaji wa timu husika....hivyo Di Maria kucheza pembeni kwenye 4-3-3 siyo guarantee ya yeye kucheza vizuri.
Halafu, unavyoongelea 4-3-3 au 4-2-2 unamaana ipi? Maana hizi formation zipo nyingi tu....4-3-1-2 (hii ni 4-4-2, lakini playing position ya Di Maria inaweza isifanane na 4-4-1-1 au na 4-4-2 yenyewe; hivyo kwa 4-3-3, 4-3-2-1 au 4-2-1-3).
Cheki hii link kwa kujifunza zaidi: Manchester United Formation 2014-2015
Eti huwezi kucheza diamond Di Maria ukakweka pembeni! Pale juu umeandika hivi: "nataka nikwambia kitu, Di maria tangu porto used to operate from wings na mpaka Madrid ni hivyo hivyo, alivyokuja Bale, Carlo alimwamisha katikati zaid, he was operating nyuma ya Bale, ronaldo na Benzema, na he was at his best, coz hakuwa na LIMITED ROLE UWANJANI"
Huoni kama unajicontradict? Sasa unalalama nini? Nimekwambia hapo juu, wewe unamtazamo wa kishamba na kizamani juu ya formations na playing styles za soka la kisasa! Yaani unadhani kuwa kwenye formation Di Maria akiwekwa pembeni basi ndipo anapokuwa anaoperate muda mrefu. Na unamfanya Di Maria kama mtu anayejifunza soka sasa. Eti anakuwa hajui anapo-operate kwenye uwanja.
Vile vile, kila timu ina mfumo wake wa uchezaji. Kama Di Maria alitamba kwa mfumo huo Real, siyo lazima atambe kwa mfumo huo huo United. Cha ajabu katika games zake 10 za mwanzo, ambapo alicheza mfumo wa 3-5-2 na yeye kuwa pembeni mara nyingi, lakini akiwa huru kuroam around kule mbele, Sasa sijui kama ulisema unavyosema sasa?!? Formation na aina ya uchezaji inategemeana na wachezaji waliopo kwenye timu. Na hadi sasa Di Maria, Mata, Fellaini, Januzaj na Rooney wakicheza uwa wapo huru sana kuroam around uwanjani.
Sasa kwa formation hii kwanini Di Maria asitambe? Na kwanini asicheze pembeni? Na pia formations za timu ubadilika kutokana na mchezo unavyoenda. Ndiyo maana mara nyingi skillful players kama akina Di Maria na Mata uachiwa nafasi ya kuroam around mbele.

Ninachotaka kukwambia Nzi whether unaongoza kwa possession na passes, lakin hauepuki dhana ya kwamba unacheza Long balls nyingi per game, na sad thing ni kwamba unaconcetrate kwenye long balls na kushindwa hata kutumia pace ya Di maria kwenye Counters.
Hii dhana nimeshai-dispute kwa kukuonyesha stats ulizoziweka mwenyewe; zinazoonyesha ni kwa namna gani long-balls kwa United ipo insignificant katika total passes na playing style. Hivyo hakuna hoja hapa ya kujadili!







