Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Umehoji kuwa Kama hizo stats nmezitoa twitter, me nikakujibu nikakwambia ni reddit hao, (sikukwambia kuwa hiyo ni website inayodeal na Stats) ni kwamba nilikuwa nataka nikuoneshe kwamba Syo twitter, na kwann nimetumia Comments, za kwenye reddit?? ni kwasababu wameleta overall ya long balls, na siyo per Game, coz squawka na Whoscored, wameziview per game!! (ni kitu ambacho ulitakiwa uelewe tu kirahisi)..

Uliandika hivi, "reddit hao wewe, acha Masikhara!" Tafsiri rahisi ni kuwa unaiaminia hiyo reddit! Usijitutumue, saa zingine kukubali kuchemsha ni uangwana, kuliko kuendelea kujivua nguo!!

Whoscored na akina squawka wanatoa pia stats za msimu mzima, ni namna ya wewe kuziomba hizo stats katika webpages zao.

Manure wanaongoza kwa Kwa pass Success, (ndiyo nakubali) na tukitoa ushabiki, ni kwamba most of passes zinachezwa katika backline na kwenye middle, (main link ni Blind), Na nadhan unaelewa Action point yenu katika position, umiliki wa mpira ni kwenye backline na kwenye Midfield (again main link ni Blind)..tunaposema kuwa Manure inaongoza kwa long balls, hatuna maana kuwa hauchez short passes, NO, short passes unacheza, na Pia una average kubwa ya long balls per game, kuliko team zote EPL, bar Burnley, ambao wanaAverage ya Long balls 80 per game, na Manure ni 78 per game, Hicho ni kiasi kikubwa, na ndo kinakufanya uonekane ni team ambao inapenda kutumia long balls, Kama ishu zikiwa tight uwanjani (hakuna ushabiki hapo) hata kwa Crosses, Manure ni ya PILI nyuma ya Southampton, (hakuna ushabiki hapo)..

Yote umeongea lakini, stats ambazo uliziweka mwenyewe kutokea reddit zinakuumbua! Hawezi kuilable timu kuwa ni ya long balls, wakati long balls zinachangia asilimia 14.1 tu ya total passes. Sasa nani anapaswa kuambiwa weka ushabiki pembeni?

Manchester United: 1696 long balls, 12060 total passes - 14.1% proportion of total passes

Pia unasema United ina average 78 long-balls per game! Ina maana katika mechi 28, United imecheza long-balls 2,184? Mbona stats mlizotoa zinakinzana na mnachokiandika?? Nyiye wa wapi?

Vilevile, tusiendelee kubishana, jambo la msingi ni moja: mimi nimeleta stats zinazoonyesha pass-success rates na ball possession katika mechi so far. Nyiye mnazi-undermine kwa kusema kuwa hizo zinatokana na United kucheza backline na sideway passes, sawa. Ebu, leteni stats zinazoonyesha pass-success na ball-possession kwenye forwardline.
Maana nafikiri naongea na watu ambao mpira wanauangalia tu kwenye Tv na majukwaa ya washabiki.

Na tangu lini LONG BALLS zikacreate Range nzuri ya passes uwanjani??? (ushaona wapi) ndo maana nimeishangaa argument yako hapo kuhusu Comment ya kwenye Reddit,

Manchester United: 1696 long balls, 12060 total passes - 14.1% proportion of total passes

Maskini! Hivi hata unaelewa hiyo sentensi iliyopo kwenye reddit ina maana gani? Nilimuuliza Morinyo kuwa kama timu inaitwa eti ya long-balls, iweje iongoze kwenye pass-success rates na ball possession? Ni vyema kuwa link uliyoileta mwenyewe inawaumbua. Ndiyo maana inaonyesha ni namna gani long-balls ina nafasi ndogo sana katika total passes za United. Kwa maana nyingine statistically ni almost siyo significant. Katika passes 12,060 ni passes 1,696 ndizo zilikuwa long-ball passes. Sasa hapo kuna mjadala kweli?!?

Long balls, si ndo zinazowanyima uwezo kina Di maria, kutanuka na kukimbia kwa nafasi, coz unapoamua kucheza kwa long balls, Inamaana Target yako inakuwa ni kwa watu flani tu, hence unampa wakat mgumu Di maria kufungua na kuoperate kwa uhuru (ana limited Role uwanjani chini ya LVG)..

Ebu acha kubwabwaja. Long balls zinachangia asilimia ndogo sana ya staili ya uchezaji wa United. Stats ulizozileta zinakuumbua. Usijifanye kuijua sana timu. Asilimia 14.1 kati ya 100 haina msingi wa kujengea hoja zenu za kuilable United kama long-ball team!!

Katika Dunia ya Mpira huwezi kuitwa "Pass Master" kama unacheza "Back passes na Square passes" ndo maana BLIND ana 90% pass Accuracy lakin ni sideways pass ambazo haziisaidii team kufungua mashambulizi, NATOA USHABIKI kuhusu CARRICK leo, yule Aliitwa "pass master" kwasababu most if his passes ni "Forwad Passes" ni rahis kufacilitate Attacks, LFC kuna mtu anaitwa Joe Allen ni mmoja kati ya wachezaj wenye Pass Accuracy nzuri sana kwenye EPL, lakin square passes, hazisaidii team,

Hili la pass master limetoka wapi? Vyovyote vile ilivyo, chifu katika mpira passes zote, ziwe za kwenda mbele ama kurudi nyuma zinahesabiwa katika stats. Kama ndivyo, magoli yafungwayo na mabeki yangekuwa hayahesabiwi, kwani kazi za mabeki si kuokoa mipira isiinge golini bana?!? (Sijui kama mtanielewa ninachokisema hapa).

Ndo maana Unakuta zile "through balls" ni chache sana per game kwa Man utd, (2? per game) ukitegemea kuwa una Di maria, Mata, Etc kwenye team, kwanza unapendelea sana unatumia sana upande wa kulia kusukuma Mashambulizi (kwanini)..kwann usifacilitate attacks kutokea katikati???

Narudia tena kuwaambia, msijifanye mnaijua sana United. Stats don't lie chief.....
[h=2] Manchester United Characteristics [/h] [h=3]+ Strengths[/h] [TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Shooting from direct free kicks
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Finishing scoring chances
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Creating long shot opportunities
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Creating chances using through balls

[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Stealing the ball from the opposition

[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: grid"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"][h=3]Manchester United Style[/h]

  • Possession football
  • Attempt through balls often
  • Control the game in the opposition's half
  • Attacking down the right
  • Aggressive

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]
Source: Manchester United Football Statistics | WhoScored.com
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

ikiwa unawin possession kirahisi??? na kwanini team inayocheza Counter attack football ni rahis sana kuifunga Manchester??? kwanini inakuwa tabu kwa Falcao kupata mipira??? kwanini attacking force ya Manchester ni mbovu???..nataka nikwambia kitu, Di maria tangu porto used to operate from wings na mpaka Madrid ni hivyo hivyo, alivyokuja Bale, Carlo alimwamisha katikati zaid, he was operating nyuma ya Bale, ronaldo na Benzema, na he was at his best, coz hakuwa na LIMITED ROLE UWANJANI...Di maria akipata mipira siku hizi anakimbia zaid kwenye flanks na kupiga cross, chance nying za kufunga zinamkuta akiwa Out of position, (haelewi anachezeshwa role gani) haelewi anafanya nini uwanjani..na kwa perfomance yake ni easy sana kumlabel kama FLOP!!

Chifu, acha kukariri formation na uchezaji wa mchezaji kama msahafu. Hayo mambo ubadilika kutokana na mfumo wa timu na kocha husika. Ronaldo alipokuwa United na hata alipo Real saivi upangwa kama left-wing forward. Je, ndivyo anapocheza mechi nzima? Formation katika mpira siyo static kama unavyotaka kuaminisha hapa. Vivyo hivyo kwa Messi ambaye kwenye formation anaonekana yupo kwenye right wing-forward, lakini je, ndivyo anavyocheza muda wote? Aisee mbona unaongelea soka la kishamba hivyo arifu? Formation na playing style ni dynamic na flexible sana kutokana na mazingira ya uchezaji. Hayo mambo ya kusema eti Di Maria aoperate kutoka kwenye wings, oh sijui nini na nani, ni ya soka la kizamani.

Ukiwa unaongea hapa usilete stori za vijiwe vya kahawa. Ebu leta stats za kuonyesha timu zinazocheza counter attacks, na ambazo zimeifunga kirahisi United.

Attacking force ya United ni mbovu based on what benchmark? Loserfool ama?

Wewe jamaa unabwabwaja balaa....leta stats za kuonyesha jinsi Di Maria anavyokimbia kwenye flanks kila akipata mpira. Halafu pia hii ni self-contradicting tena: utasemaje anakimbia kwenye flanks ilhali huko ndipo anapocheza mara nyingi? Na kwanini asifanye hivyo kama huko ndipo strenghts zake zipo zaidi kuliko sehemu yoyote ya uwanja? Yeye anapenda kucheza crosses na mara nyingine ku-cut inside, sasa kuna ubaya gani akienda sehemu ambayo anafahamu ata-fulfill his true potential? Na ushasema kuwa he used to do that since when he was in Porto?? (ona sasa Di Maria hajawahi kuchezea Porto arifu) Nawaambia msijifanye kuijua United, mnajivua nguo.

Sawa kama flop ana assists nane, making him second-tie kwenye league, sawa. Msimu wa mwisho alipokuwa Real, kwenye La Liga msimu mzima alikuwa ana goli 4, sasa United ana goli 3, ligi haijaisha. Msimu mzima wa La Liga alikuwa ana assists 17, sasa United anazo assists 8. Sasa sijui kuitwa flop kunatokana na benchmarks zipi?!?

Me naujua Mpira, Di maria na Falcao washapaniki sahiv..

Sawa basi....siwezi kujadili hili suala unalolitazama kinazi.

Huwez kucheza "diamond" (4-4-2) ukamweka Di maria Pembeni Aisee (Carlo atakuwa anacheka sana).. 4-3-3 ndo unamweka Di maria Pembeni!!

Hilo la formation, siyo msahafu huo. Formations ubadilika kwa mazingira ya timu pinzani na uchezaji wa timu husika....hivyo Di Maria kucheza pembeni kwenye 4-3-3 siyo guarantee ya yeye kucheza vizuri.

Halafu, unavyoongelea 4-3-3 au 4-2-2 unamaana ipi? Maana hizi formation zipo nyingi tu....4-3-1-2 (hii ni 4-4-2, lakini playing position ya Di Maria inaweza isifanane na 4-4-1-1 au na 4-4-2 yenyewe; hivyo kwa 4-3-3, 4-3-2-1 au 4-2-1-3).

Cheki hii link kwa kujifunza zaidi: Manchester United Formation 2014-2015

Eti huwezi kucheza diamond Di Maria ukakweka pembeni! Pale juu umeandika hivi: "nataka nikwambia kitu, Di maria tangu porto used to operate from wings na mpaka Madrid ni hivyo hivyo, alivyokuja Bale, Carlo alimwamisha katikati zaid, he was operating nyuma ya Bale, ronaldo na Benzema, na he was at his best, coz hakuwa na LIMITED ROLE UWANJANI"

Huoni kama unajicontradict? Sasa unalalama nini? Nimekwambia hapo juu, wewe unamtazamo wa kishamba na kizamani juu ya formations na playing styles za soka la kisasa! Yaani unadhani kuwa kwenye formation Di Maria akiwekwa pembeni basi ndipo anapokuwa anaoperate muda mrefu. Na unamfanya Di Maria kama mtu anayejifunza soka sasa. Eti anakuwa hajui anapo-operate kwenye uwanja.

Vile vile, kila timu ina mfumo wake wa uchezaji. Kama Di Maria alitamba kwa mfumo huo Real, siyo lazima atambe kwa mfumo huo huo United. Cha ajabu katika games zake 10 za mwanzo, ambapo alicheza mfumo wa 3-5-2 na yeye kuwa pembeni mara nyingi, lakini akiwa huru kuroam around kule mbele, Sasa sijui kama ulisema unavyosema sasa?!? Formation na aina ya uchezaji inategemeana na wachezaji waliopo kwenye timu. Na hadi sasa Di Maria, Mata, Fellaini, Januzaj na Rooney wakicheza uwa wapo huru sana kuroam around uwanjani.

Sasa kwa formation hii kwanini Di Maria asitambe? Na kwanini asicheze pembeni? Na pia formations za timu ubadilika kutokana na mchezo unavyoenda. Ndiyo maana mara nyingi skillful players kama akina Di Maria na Mata uachiwa nafasi ya kuroam around mbele.

Diamond.png

Ninachotaka kukwambia Nzi whether unaongoza kwa possession na passes, lakin hauepuki dhana ya kwamba unacheza Long balls nyingi per game, na sad thing ni kwamba unaconcetrate kwenye long balls na kushindwa hata kutumia pace ya Di maria kwenye Counters.

Hii dhana nimeshai-dispute kwa kukuonyesha stats ulizoziweka mwenyewe; zinazoonyesha ni kwa namna gani long-balls kwa United ipo insignificant katika total passes na playing style. Hivyo hakuna hoja hapa ya kujadili!
 
Chekini pia hizi average pass length kutoka squawka.com/teams

ImageUploadedByJamiiForums1426103545.662184.jpgImageUploadedByJamiiForums1426103554.365258.jpgImageUploadedByJamiiForums1426103564.304987.jpgImageUploadedByJamiiForums1426103572.275538.jpgImageUploadedByJamiiForums1426103581.695839.jpg

Halafu rudieni kusema masuala ya long-balls United 😂😂😂😂
 
Uliandika hivi, "reddit hao wewe, acha Masikhara!" Tafsiri rahisi ni kuwa unaiaminia hiyo reddit! Usijitutumue, saa zingine kukubali kuchemsha ni uangwana, kuliko kuendelea kujivua nguo!!

Whoscored na akina squawka wanatoa pia stats za msimu mzima, ni namna ya wewe kuziomba hizo stats katika webpages zao.

Yote umeongea lakini, stats ambazo uliziweka mwenyewe kutokea reddit zinakuumbua! Hawezi kuilable timu kuwa ni ya long balls, wakati long balls zinachangia asilimia 14.1 tu ya total passes. Sasa nani anapaswa kuambiwa weka ushabiki pembeni?

Manchester United: 1696 long balls, 12060 total passes - 14.1% proportion of total passes

Pia unasema United ina average 78 long-balls per game! Ina maana katika mechi 28, United imecheza long-balls 2,184? Mbona stats mlizotoa zinakinzana na mnachokiandika?? Nyiye wa wapi?

Vilevile, tusiendelee kubishana, jambo la msingi ni moja: mimi nimeleta stats zinazoonyesha pass-success rates na ball possession katika mechi so far. Nyiye mnazi-undermine kwa kusema kuwa hizo zinatokana na United kucheza backline na sideway passes, sawa. Ebu, leteni stats zinazoonyesha pass-success na ball-possession kwenye forwardline.
Maana nafikiri naongea na watu ambao mpira wanauangalia tu kwenye Tv na majukwaa ya washabiki.

Manchester United: 1696 long balls, 12060 total passes - 14.1% proportion of total passes

Maskini! Hivi hata unaelewa hiyo sentensi iliyopo kwenye reddit ina maana gani? Nilimuuliza Morinyo kuwa kama timu inaitwa eti ya long-balls, iweje iongoze kwenye pass-success rates na ball possession? Ni vyema kuwa link uliyoileta mwenyewe inawaumbua. Ndiyo maana inaonyesha ni namna gani long-balls ina nafasi ndogo sana katika total passes za United. Kwa maana nyingine statistically ni almost siyo significant. Katika passes 12,060 ni passes 1,696 ndizo zilikuwa long-ball passes. Sasa hapo kuna mjadala kweli?!?

Ebu acha kubwabwaja. Long balls zinachangia asilimia ndogo sana ya staili ya uchezaji wa United. Stats ulizozileta zinakuumbua. Usijifanye kuijua sana timu. Asilimia 14.1 kati ya 100 haina msingi wa kujengea hoja zenu za kuilable United kama long-ball team!!

Hili la pass master limetoka wapi? Vyovyote vile ilivyo, chifu katika mpira passes zote, ziwe za kwenda mbele ama kurudi nyuma zinahesabiwa katika stats. Kama ndivyo, magoli yafungwayo na mabeki yangekuwa hayahesabiwi, kwani kazi za mabeki si kuokoa mipira isiinge golini bana?!? (Sijui kama mtanielewa ninachokisema hapa).

Narudia tena kuwaambia, msijifanye mnaijua sana United. Stats don't lie chief.....
[h=2] Manchester United Characteristics [/h] [h=3]+ Strengths[/h] [TABLE="class: grid"]
[TR]
[TD] Shooting from direct free kicks
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Finishing scoring chances
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Creating long shot opportunities
[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Creating chances using through balls

[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Stealing the ball from the opposition

[/TD]
[TD="align: right"] Strong [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: grid"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"][h=3]Manchester United Style[/h]

  • Possession football
  • Attempt through balls often
  • Control the game in the opposition's half
  • Attacking down the right
  • Aggressive

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]
Source: Manchester United Football Statistics | WhoScored.com
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Chifu, acha kukariri formation na uchezaji wa mchezaji kama msahafu. Hayo mambo ubadilika kutokana na mfumo wa timu na kocha husika. Ronaldo alipokuwa United na hata alipo Real saivi upangwa kama left-wing forward. Je, ndivyo anapocheza mechi nzima? Formation katika mpira siyo static kama unavyotaka kuaminisha hapa. Vivyo hivyo kwa Messi ambaye kwenye formation anaonekana yupo kwenye right wing-forward, lakini je, ndivyo anavyocheza muda wote? Aisee mbona unaongelea soka la kishamba hivyo arifu? Formation na playing style ni dynamic na flexible sana kutokana na mazingira ya uchezaji. Hayo mambo ya kusema eti Di Maria aoperate kutoka kwenye wings, oh sijui nini na nani, ni ya soka la kizamani.

Ukiwa unaongea hapa usilete stori za vijiwe vya kahawa. Ebu leta stats za kuonyesha timu zinazocheza counter attacks, na ambazo zimeifunga kirahisi United.

Attacking force ya United ni mbovu based on what benchmark? Loserfool ama?

Wewe jamaa unabwabwaja balaa....leta stats za kuonyesha jinsi Di Maria anavyokimbia kwenye flanks kila akipata mpira. Halafu pia hii ni self-contradicting tena: utasemaje anakimbia kwenye flanks ilhali huko ndipo anapocheza mara nyingi? Na kwanini asifanye hivyo kama huko ndipo strenghts zake zipo zaidi kuliko sehemu yoyote ya uwanja? Yeye anapenda kucheza crosses na mara nyingine ku-cut inside, sasa kuna ubaya gani akienda sehemu ambayo anafahamu ata-fulfill his true potential? Na ushasema kuwa he used to do that since when he was in Porto?? (ona sasa Di Maria hajawahi kuchezea Porto arifu) Nawaambia msijifanye kuijua United, mnajivua nguo.

Sawa kama flop ana assists nane, making him second-tie kwenye league, sawa. Msimu wa mwisho alipokuwa Real, kwenye La Liga msimu mzima alikuwa ana goli 4, sasa United ana goli 3, ligi haijaisha. Msimu mzima wa La Liga alikuwa ana assists 17, sasa United anazo assists 8. Sasa sijui kuitwa flop kunatokana na benchmarks zipi?!?

Sawa basi....siwezi kujadili hili suala unalolitazama kinazi.

Hilo la formation, siyo msahafu huo. Formations ubadilika kwa mazingira ya timu pinzani na uchezaji wa timu husika....hivyo Di Maria kucheza pembeni kwenye 4-3-3 siyo guarantee ya yeye kucheza vizuri.

Halafu, unavyoongelea 4-3-3 au 4-2-2 unamaana ipi? Maana hizi formation zipo nyingi tu....4-3-1-2 (hii ni 4-4-2, lakini playing position ya Di Maria inaweza isifanane na 4-4-1-1 au na 4-4-2 yenyewe; hivyo kwa 4-3-3, 4-3-2-1 au 4-2-1-3).

Cheki hii link kwa kujifunza zaidi: Manchester United Formation 2014-2015

Eti huwezi kucheza diamond Di Maria ukakweka pembeni! Pale juu umeandika hivi: "nataka nikwambia kitu, Di maria tangu porto used to operate from wings na mpaka Madrid ni hivyo hivyo, alivyokuja Bale, Carlo alimwamisha katikati zaid, he was operating nyuma ya Bale, ronaldo na Benzema, na he was at his best, coz hakuwa na LIMITED ROLE UWANJANI"

Huoni kama unajicontradict? Sasa unalalama nini? Nimekwambia hapo juu, wewe unamtazamo wa kishamba na kizamani juu ya formations na playing styles za soka la kisasa! Yaani unadhani kuwa kwenye formation Di Maria akiwekwa pembeni basi ndipo anapokuwa anaoperate muda mrefu. Na unamfanya Di Maria kama mtu anayejifunza soka sasa. Eti anakuwa hajui anapo-operate kwenye uwanja.

Vile vile, kila timu ina mfumo wake wa uchezaji. Kama Di Maria alitamba kwa mfumo huo Real, siyo lazima atambe kwa mfumo huo huo United. Cha ajabu katika games zake 10 za mwanzo, ambapo alicheza mfumo wa 3-5-2 na yeye kuwa pembeni mara nyingi, lakini akiwa huru kuroam around kule mbele, Sasa sijui kama ulisema unavyosema sasa?!? Formation na aina ya uchezaji inategemeana na wachezaji waliopo kwenye timu. Na hadi sasa Di Maria, Mata, Fellaini, Januzaj na Rooney wakicheza uwa wapo huru sana kuroam around uwanjani.

Sasa kwa formation hii kwanini Di Maria asitambe? Na kwanini asicheze pembeni? Na pia formations za timu ubadilika kutokana na mchezo unavyoenda. Ndiyo maana mara nyingi skillful players kama akina Di Maria na Mata uachiwa nafasi ya kuroam around mbele.

View attachment 233825

Hii dhana nimeshai-dispute kwa kukuonyesha stats ulizoziweka mwenyewe; zinazoonyesha ni kwa namna gani long-balls kwa United ipo insignificant katika total passes na playing style. Hivyo hakuna hoja hapa ya kujadili!

Doh!!! Aisee!! mbona Kama kwa Di maria unarudia niliyoyasema??? (Mantiki yangu ya LVG kukariri postion ya Di maria)..??

Afu unaongele kuhusu Di maria kupewa Space ya kuroam mbele kwa uhuru!!!!!!??? tangu kaja Manchester Di maria kacheza as a free Attacking Mid game zipi???

Anyway, umesema unahitaji tukuonyeshe Sidepasses/backPasses za Manure/player..

Nataka nikuonesha Mantiki yangu, nilipomuongelea BLIND hapo juu kwenye hiyo POST..
ImageUploadedByJamiiForums1426114162.422990.jpg

(Mantiki yangu ilikuwa inaendana na hiyo Picha hapo from Squawka)..

then kuhusu "BackPasses" kuna hii Article na Stats kutoka Skysports..
ImageUploadedByJamiiForums1426114361.495523.jpg

Au waweza kuisoma hii "Article" hapa, inahusu hizo "backPasses". from Skysports

http://www1.skysports.com/football/...most-backpasses-in-premier-league-this-season

MWISHO:
Nilitumia reddit, coz ilikuwa imetoa mchanganuo wa Maana, ningeweza kutumia whoScored.com and yeyote ile, but niliamua kuchukua ambayo ina details!!
 
Doh!!! Aisee!! mbona Kama kwa Di maria unarudia niliyoyasema??? (Mantiki yangu ya LVG kukariri postion ya Di maria)..??

Afu unaongele kuhusu Di maria kupewa Space ya kuroam mbele kwa uhuru!!!!!!??? tangu kaja Manchester Di maria kacheza as a free Attacking Mid game zipi???

Kwani position ya Di Maria ni ipi? Na wewe uliandika hivi, "Huwez kucheza "diamond" (4-4-2) ukamweka Di maria Pembeni Aisee (Carlo atakuwa anacheka sana).. 4-3-3 ndo unamweka Di maria Pembeni!!"

Sasa nani anayekariri position ya Di Maria kati yako na LvG?

Tokea Di Maria aanze kucheza United, zaidi ya games ambazo Di Maria alianza kama striker games za January, kwenye formations hii, ndipo nilipomuona Di Maria hakiwa hayupo huru. Lakini katika games ambazo amecheza kwenye midflield positions, amekuwa yupo huru sana.

manchester-united-3-4-1-2.png

Kwenye hii formation, Di Maria amekuwa huru sana.

Screen-Shot-2015-01-14-at-12.26.35-AM.png

Anyway, umesema unahitaji tukuonyeshe Sidepasses/backPasses za Manure/player..

Sikusema haya...kasome tena vizuri...

Doh! Mbona hujajibu hoja yangu hata moja? Hayo ya backpasses na sideways, sawa, ni sehemu ya mchezo pia.

Ila, mimi sijakuomba hayo uliyoyaandika. Nilikuomba na kusema haya:

1. Manchester United: 1696 long balls, 12060 total passes - 14.1% proportion of total passes

Nikasema, "Hawezi kuilable timu kuwa ni ya long balls, wakati long balls zinachangia asilimia 14.1 tu ya total passes."

Nikasema pia, "Pia unasema United ina average 78 long-balls per game! Ina maana katika mechi 28, United imecheza long-balls 2,184? Mbona stats mlizotoa zinakinzana na mnachokiandika??

Nikasema vilevile, "Nilimuuliza Morinyo kuwa kama timu inaitwa eti ya long-balls, iweje iongoze kwenye pass-success rates na ball possession? Ni vyema kuwa link uliyoileta mwenyewe inawaumbua. Ndiyo maana inaonyesha ni namna gani long-balls ina nafasi ndogo sana katika total passes za United. Kwa maana nyingine statistically ni almost siyo significant. Katika passes 12,060 ni passes 1,696 ndizo zilikuwa long-ball passes. Sasa hapo kuna mjadala kweli?!?"

2. Vilevile, tusiendelee kubishana, jambo la msingi ni moja: mimi nimeleta stats zinazoonyesha pass-success rates na ball possession katika mechi so far.

Nikasema, "Nyiye mnazi-undermine kwa kusema kuwa hizo zinatokana na United kucheza backline na sideway passes, sawa. Ebu, leteni stats zinazoonyesha pass-success na ball-possession kwenye forwardline."
 
United have played some 1,861 long balls over 24 Premier League matches this season; numbers that in themselves do not mean an awful lot. However, rank all 98 teams across Europe's top five leagues in these terms and it makes pretty grim reading for the club.
Manchester United are a long-ball team. But they hit the most accurate long balls | Football | The Guardian

BTW..manure ndo team ya PILI kwa long balls EPL mpaka sasa tunavyoongea!!
View attachment 233790

Bro!!!!!

Sidhani kama nahitaji tena kuandika kitu,

Kwa hapa NGOJA nikujibu kupitia hao hao SQUAWKA.COM wenyewe..
View attachment 233868

nimefunga mjadala wa Long balls.

Kwanza wenyewe mnajichanganyana na hizo long-balls stats....

Mara 1,861, oh 1,696 sasa wewe unaleta 1,460!!

Nyiye mnafanya 'cherry-picking' ya football stats ili kujustify long-balls United. Mimi naweka whole stats kuwaonyesha kuwa style ya United siyo long-balls kama mnavyodai. Long-balls zinachangia asilimia ndogo sana ya total passes za timu. Sasa hili ni jambo ambalo mtu mzima huwezi kuelewa, ama ndiyo kujitutumua tu?!?!

Nimeweka hizo visualisations kutoka Squawka ambazo zinaonyesha timu nyingi (in fact top 5 zote) zinatumia long-balls katika kipindi fulani cha mechi. Lakini haina maana kuwa long-balls ndiyo main tactic ya hizo timu!!

Najua hamwezi kunielewa kwa sababu ya unazi...nimeweka hadi stats zinazoonyesha average pass length, ambapo United na Loserfool wote wana average ya 19 meters so as Rentboys ni Goons na Shitty ndiyo wenye average pass length nzuri za 17 meters.

Na kweli huu mjadala inabidi ufungwe tu, kwa maana hakuna sababu ya kuendelea kama watu wanafanya 'cherry-picking'.
 
Cherry picking??? how??

Kwenye Post yako hapo juu "ulisema me nafanya contradiction katika stats"

Well, nilichofanya sahiv, ni kukuletea same Source ambayo wewe umeitumia kupinga uwepo wa long balls manure pale, Ambayo ni squawka hiyo hyo, so nan analeta contradiction hapo?? mimi au Squawka???

And BTW, Kwa kutumia hizo stats zako ulizozileta hapo, naweza nikazipinga kwa kutumia the same stats za Whoscored.com ambazo zipo tofaut at some point na hizo zako, "coz site za stats huwa haziendi sawa kiuwiano, ndo maana rates huwa zinakuwa tofauti!!!

So ukinambia me najicondradict utakuwa unakosea, labda useme hizo sites unazochukulia hizo stats ndo zinajicodradict, Coz na mimi napita humo humo kwenye hizo sites pia!!!

And, Long balls, haizuii team kucheza short passes au Sideways passes (kama za Blind)..unless kama huelewi maana ya "long balls"

NILICHOKIFANYA MIMI NI KUPROVE KUWA MANURE WANATUMIA PIA LONG BALLS! kwa kutumia Sites ambazo umepresent Stats zao humu (Squawka na WhoScored.com) na Sjafanya "cherry picking" coz mwishoni nliamua kukujibu kwa kutumia hizo hizo site bro!
 
Kwanza wenyewe mnajichanganyana na hizo long-balls stats....

Mara 1,861, oh 1,696 sasa wewe unaleta 1,460!!

Nyiye mnafanya 'cherry-picking' ya football stats ili kujustify long-balls United. Mimi naweka whole stats kuwaonyesha kuwa style ya United siyo long-balls kama mnavyodai. Long-balls zinachangia asilimia ndogo sana ya total passes za timu. Sasa hili ni jambo ambalo mtu mzima huwezi kuelewa, ama ndiyo kujitutumua tu?!?!

Nimeweka hizo visualisations kutoka Squawka ambazo zinaonyesha timu nyingi (in fact top 5 zote) zinatumia long-balls katika kipindi fulani cha mechi. Lakini haina maana kuwa long-balls ndiyo main tactic ya hizo timu!!

Najua hamwezi kunielewa kwa sababu ya unazi...nimeweka hadi stats zinazoonyesha average pass length, ambapo United na Loserfool wote wana average ya 19 meters so as Rentboys ni Goons na Shitty ndiyo wenye average pass length nzuri za 17 meters.

Na kweli huu mjadala inabidi ufungwe tu, kwa maana hakuna sababu ya kuendelea kama watu wanafanya 'cherry-picking'.

Na tulichokuwa tunakiongelea hapa na Mourinho ni teams with most long balls, na hakuna aliyekataa kuwa team nyingine hazitumii long balls, but suala lililokuwepo ni ipi inaongoza!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani position ya Di Maria ni ipi? Na wewe uliandika hivi, "Huwez kucheza "diamond" (4-4-2) ukamweka Di maria Pembeni Aisee (Carlo atakuwa anacheka sana).. 4-3-3 ndo unamweka Di maria Pembeni!!"

Sasa nani anayekariri position ya Di Maria kati yako na LvG?

Tokea Di Maria aanze kucheza United, zaidi ya games ambazo Di Maria alianza kama striker games za January, kwenye formations hii, ndipo nilipomuona Di Maria hakiwa hayupo huru. Lakini katika games ambazo amecheza kwenye midflield positions, amekuwa yupo huru sana.

Sikusema haya...kasome tena vizuri...

Doh! Mbona hujajibu hoja yangu hata moja? Hayo ya backpasses na sideways, sawa, ni sehemu ya mchezo pia.

Ila, mimi sijakuomba hayo uliyoyaandika. Nilikuomba na kusema haya:

1. Manchester United: 1696 long balls, 12060 total passes - 14.1% proportion of total passes

Nikasema, "Hawezi kuilable timu kuwa ni ya long balls, wakati long balls zinachangia asilimia 14.1 tu ya total passes."

Nikasema pia, "Pia unasema United ina average 78 long-balls per game! Ina maana katika mechi 28, United imecheza long-balls 2,184? Mbona stats mlizotoa zinakinzana na mnachokiandika??

Nikasema vilevile, "Nilimuuliza Morinyo kuwa kama timu inaitwa eti ya long-balls, iweje iongoze kwenye pass-success rates na ball possession? Ni vyema kuwa link uliyoileta mwenyewe inawaumbua. Ndiyo maana inaonyesha ni namna gani long-balls ina nafasi ndogo sana katika total passes za United. Kwa maana nyingine statistically ni almost siyo significant. Katika passes 12,060 ni passes 1,696 ndizo zilikuwa long-ball passes. Sasa hapo kuna mjadala kweli?!?"

2. Vilevile, tusiendelee kubishana, jambo la msingi ni moja: mimi nimeleta stats zinazoonyesha pass-success rates na ball possession katika mechi so far.

Nikasema, "Nyiye mnazi-undermine kwa kusema kuwa hizo zinatokana na United kucheza backline na sideway passes, sawa. Ebu, leteni stats zinazoonyesha pass-success na ball-possession kwenye forwardline."

Cherry picking??? how??

Kwa sababu hujagusia hoja na maswali niliyoyaweka kwenye post yangu hapo juu...ndiyo maana nasema unafanya cherry-picking....

Mnakomalia long-balls United ni kama vile ndiyo playing style yao, wakati nimequote stats (ambazo ulizileta wewe mwenyewe) zinaonyesha long-balls ni asilimia 14.1 tu ya total passes za timu. Sasa kwa asilimia hizo, hilo hata siyo suala la kuanzisha mjadala, kwani ni almost insignificant!!

And, Long balls, haizuii team kucheza short passes au Sideways passes (kama za Blind)..unless kama huelewi maana ya "long balls"

Hivi hata uwa unasoma unachokiandika ama unajiandikiaga tu? Sasa ndiyo umesema nini hapo? Yaani timu iwe inacheza long-balls, halafu useme uchezaji huo hauizui timu hiyo hiyo kucheza short passes! Duh! Hii kali ya leo!! Long-balls hapo hapo short-passes, my goodness me!! Yaani passes zipigwe ndefu kumtafuta Fellaini muda wote, sasa hizo passes fupi fupi zitapigwa saa ngapi? (hapa naongea kwa kutumia logic yako)

Ndiyo maana nimekwambia wewe unaangalia mpira kwenye Tv na kukaa kwenye majukwaa ya washabiki...sijui hata kama unajua kucheza danadana!! Ndiyo nikawaambia, kwa mantiki ya football, haiwezekani timu inayotumia staili ya long-balls kuwa inaongoza kwa pass-success rate na ball possession. Haiwezekani katika mpira wa mguu hilo! Ukiona timu inaongoza kwa pass-success rates na ball possession (no matter where the ball is passed and possessed), long-balls kwa timu hiyo haiwezi kuwa ndiyo main game tactic, haiwezekani kabisa. Litawezekana kama long-balls hazichukuwi nafasi kubwa katika aina ya uchezaji wa timu husika. Hii ndiyo hoja inayo-dispute claim yenu ya kuilable United eti ni long-balls team, wakati long-balls zinachangia asilimia 14.1 tu ya total passes.

Sawa wewe unamwona hivyo Daley, lakini wakusanya takwimu (nimewaonyesh humu), wanaona moja ya strenghts za Daley ni passing. Sasa iwe sideway, backpass, forwardpass, hilo ni mjadala mwingine, uanzishie thread kwa kujibu takwa langu la kuomba stats za forwardpasses na ball possession kwenye forwadlines. Kwa upande mwingine, angalau Daley ana jivunia kuisaidia timu yake ya taifa kushika nafasi ya 3 WC. Sasa sijui katika midfielders wa Loserfools, ni yupi ana hiyo honour?!?
 
Na tulichokuwa tunakiongelea hapa na Mourinho ni teams with most long balls, na hakuna aliyekataa kuwa team nyingine hazitumii long balls, but suala lililokuwepo ni ipi inaongoza!!!

Sawa, lakini kuilable United kama a long-balls team wakati ikiongoza kwa pass-success rate na ball-possession kunawafanya mwonekane makanjanja wa mpira wa mguu.

Sawa inaongoza kwa kucheza long-balls, lakini hiyo siyo main playing style ya Man United, hii ndiyo hoja yangu ya msingi.
 
Nzi

We jamaa unachekesha sana Aisee!!!

UnaRaise points ambazo hazina mashiko kabisa!!!

Unaelewa maana ya Forward passes??? na unaelewa maana ya Back passes?? na Most of all unaelewa maana ya SIDEWAYS PASSES???

Na pia umeelewa Mantiki ya "Team With Most long balls Or Attempted long balls"???

kuhusu Possession umeelewa kuhusu hiyo Article ya Peter Smith??? (back Passes)???

Nimekueleza Most of Manure's short passes zinachezwa eneo la Nyuma na kwenye Midfield (nikakupa Hit Map ya Blind), na ukiwa unacheza short passes, thats means huwez kushindwa kucheza/attempt long balls na Crosses (ndo maana tunasema team with Most long balls/attempts/kutumia zaid)..

Kitu kinachonishangaza hapa, ni the fact kwamba, eti team inayoAttempt zaid LONG BALLS, Haiwez kuwa na Possession nzuri au Pass success (unless mtu hajui maana ya Long balls na zinatumika vipi)..

Katika Football, short passes, zinatumika Zaid eneo la Nyuma na kwenye Mid (pale team inapojaribu kuUnlock opponents side na kukaa na mpira zaid ili kupunguza presha) so Suala la Possession na Pass Success hazibani teams kuAttempt Long balls, kama penetration passes zinashindikana..(unahitaji kuwa na Playmaker mzuri kwa ajili ya ku-Unlock Nafasi)...

Ukitumia Stats, Utaona kuwa Manure kwenye "Pass type" ndo wanaongoza sana Katika "Crosses Pass type" na "long balls pass types"..it means ukiachana na Umilikaji mzuri wa mpira (sideways passes) manure ndo wanaongoza katka attempted Pass za Crosses na Long balls per Game (na ndo maana wanatumia sana Right side kustart Attacks)

Logic ya kawaida tu ni kwamba, kama most passes zinazopigwa na Manure ni katika eneo la Midfield na kwenye backline yao Na pia kama Manure ndo wanalead katika charts za Most attempted long balls and Crosses kind'a passes, Team itakuwaje na Possession ya kutosha katika "Forward Line"...(unless sielewi maana ya Foward line)..

Afu unasema tunang'ang'ania kuwa "long balls" ni style ya uchezaj wa Manure, Onyesha sehem ambayo nimesema hivyo, and i thought tangu kwenye post yangu ya kwanza ile niliongea kuhusu LVG na kutumia long balls kama mambo yakienda kombo/one of his optional tactic, naona umekuja kuirudia hapo chini!!!

Kilichokuwa kinaongelewa hapa ni team with MOST LONG BALLS/ATTEMPTED LONG BALLS..
 
Last edited by a moderator:
Afu suala la World Cup Honour, Arbeloa ana WC medal wakat Messi, SG, Cr7, Ibrah, Scholes, Giggs HAWANA..
 
[h=1]Coutinho scoops Goal of the Month award[/h]Philippe Coutinho's magnificent strike in the 2-0 win at Southampton has been voted by fans as Liverpool's Goal of the Month for February, in association with EA SPORTS.

With just three minutes on the clock at St Mary's, the Brazilian ace fired the sweetest of shots into the top corner of the net to leave Fraser Forster grasping at thin air.
Unsurprisingly, the goal was the overwhelming favourite as it picked up 85 per cent of the votes in our online supporters' poll to take the monthly accolade.
Liverpool's No.10 also hit a stunning late winner in the FA Cup replay with Bolton Wanderers at the Macron Stadium - and that crucial effort finished runner-up with six per cent, while Raheem Sterling's strike in the same game came third with three per cent.
Completing the top five in the results, whittled down from a 10-goal shortlist, Mario Balotelli's winner against Tottenham Hotspur was fourth while Lazar Markovic's strike in the same game came fifth.
 
Ina struggle kwenye EPL kwa kutumia benchmark ya Loserfool?

Sasa unaleta utani!! Kwenye EPL kati ya United na Loserfool nani anayestruggle based on team position in the league this season and last season?!?!?

Last season United was 7th this time, and Loserfool was in the so called title-contending position. Look where Loserfool is today, and look again where United is pheewww!

Jumapili Tots anakuchapa
Tutaheshimiana tu hapa
 
so timu pekee kwenye ligi tano bora ambayo haijafungwa in 2015 ina struggle???????
wakati mwingine tumia robo tu ya ubongo wako sawa eh
 
nyie wazee wa back pass em nendeni kwenye uzi wenu huko dah mmezidi bwana

Mkuu achana nae huyo jamaa kachanganyikiwa baada ya kugundua kuwa kwa mara ya pili mfululizo hawezi cheza CL

Kamaliza karibia na teams zote mid table sasa anaanza kucheza na teams za ukweli na anajua hamna wa kumfunga hapo

Jumapili kwa Tots akijitahidi sana atapata sare na akija ANFIELD anachapwa kiurahisi tu
 
Back
Top Bottom