Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
Hii gemu wametukamata. Wanapress sana kwenye kiungo. Tunahataji tactical change. Ila wachezaji wanaonekana wazito, hakuna sharpness, wanapoteza pasi hovyo ni shiidah leo.
Haswa Lallana, DS15 na Sterling
Mkuu labda wajifunge wenyewe
Hivi kwanini hatukai na mipira aiseee
We are OK now
Tunawapiga sasa