Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1426541337384_lc_galleryImage_Steven_Gerrard_of_Liverpo.JPG
 
Mkuu kiutaalam unaweza nipa brief why kipindi cha pili kuanzia dakika ya 15 tumecheza vyema sana?

Nadhani dressing room BR aliwaambia wakabe wasiache Swansea wacheze na kumiliki mpira, uku mbele kuingia kwa Gerrard napo kumei lift team, maana kumemfanya Hendo kuwa huru na kusogea mbele.
 
Back
Top Bottom