Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nikiangalia ratiba yetu na ratiba ya Man U, kweli wenzetu kazi wanayo but sababu soccer ni 90mins ngoja tusubirie tu
 
Hata LVG anajua Anfield anachapwa
Hata akina RRONDO everlenk Nzi wanajua wanachapwa easily Jumapili wanacho jaribu kufanya ni kujipa moyo tu

Kaka nimekwambia tusubiri usinitie majaribuni siku hiyo nikamwacha Yesu wangu nikaamua kujivuruga na Savanna zako,lol
 
Last edited by a moderator:
Nikiangalia ratiba yetu na ratiba ya Man U, kweli wenzetu kazi wanayo but sababu soccer ni 90mins ngoja tusubirie tu

Hii EPL hata si ya kutabiri sana mpaka sasa lolote lile laweza kutokea kati yetu sisi kuanzia 1-5, nadhani tumepata funzo zuri toka kwa wenzetu juzi ile Man City na Chelsea,na hata ile mechi yetu na spurs najua hata nyie leo kwenu na Swansea kuna mengi ya kujifunza,iliyobaki ni kila mtu akazane pale alipo hata atakapokuwa yupo top 4 anaona kweli alistahili kuwa pale kwa kazi nzito aliyofanya.
 
Kaka nimekwambia tusubiri usinitie majaribuni siku hiyo nikamwacha Yesu wangu nikaamua kujivuruga na Savanna zako,lol

Savanah zako zipo kama hunywi katoe sadaka popote pale
Ni za kukufariji ukifungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…