Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Stevie's heat map ImageUploadedByJamiiForums1427035356.125235.jpg
 
Yule Jones pia kama ni hivyo alistahili red card. Referee kauharibu mchezo kwa upendeleo wa wazi kabisa. Yule Di Maria anadaka kwa makusudi hata yellow card hakuna!!!

Doh! Chief, hata kama unazi siyo kihivyo! Yaani mtu kamtimba opponent, ulitaka afanywaje?!?
 
Ndio imeshatoka Mkuu mareferee kama huyu wanaudhi sana kwa maamuzi yao yaliyojaa upendeleo wa wazi ambao yanaharibu mchezo na wakati mwingine kusababisha vurugu muda mwingi wa mchezo. Mareferee kama huyu inabidi wapewe kibano hata cha mwaka ili kukomesha maamuzi yao yasiyofuata maadili ya ureferee. Kama sikosei huyu referee mwaka juzi aliwahi kuwekwa pembeni kwa miezi miwili au mitatu kutokana na maamuzi yake ya ajabu ajabu.

mechi nzuri lakini imeharibiwa na refa
 
Yule Jones pia kama ni hivyo alistahili red card. Referee kauharibu mchezo kwa upendeleo wa wazi kabisa. Yule Di Maria anadaka kwa makusudi hata yellow card hakuna!!!

Sturrige katupia! Hawa jamaa walikuwa wetu ila basi tu kwa vile wenzetu ndani wako 11 sisi 9! Ona foul za Manure jamaa hazioni kabisa!!
 
Yule Jones pia kama ni hivyo alistahili red card. Referee kauharibu mchezo kwa upendeleo wa wazi kabisa. Yule Di Maria anadaka kwa makusudi hata yellow card hakuna!!!

Pole sana...najua unaumia..lakini ndiyo mpira huo chifu...
 
Man wepesi kabisa hawana sumu kabisa. Sema ndiyo game ilivyo

Ule msimu wa refa kubeba Man naona umerudi tena. Wacheza kamari washaanza yao
 
Back
Top Bottom