Gerard did not deserve a red card, very poor decision by the referee.
Red card yakujitakia hii. Ovyo kabisa
Doh! Chief, hata kama unazi siyo kihivyo! Yaani mtu kamtimba opponent, ulitaka afanywaje?!?
Bahati mbaya Mkuu! Kwenye ile movement kumkanyaga ilikuwa inawezekana! Ona hiyo foul ya Jones kama siyo red hiyo ni nini?
mechi nzuri lakini imeharibiwa na refa
Yule Jones pia kama ni hivyo alistahili red card. Referee kauharibu mchezo kwa upendeleo wa wazi kabisa. Yule Di Maria anadaka kwa makusudi hata yellow card hakuna!!!
Nategemea kumuona SG kiungo tumezidiwa sana
Stevie's heat mapView attachment 236871
Yule Jones pia kama ni hivyo alistahili red card. Referee kauharibu mchezo kwa upendeleo wa wazi kabisa. Yule Di Maria anadaka kwa makusudi hata yellow card hakuna!!!