Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
Sawa basi...lakini bado ni ushindi ama siyo?!?
You are just bitter, admit it...you didn't expect a win and such a performance from United....you are holding into one incidence and forgetting how United were in control of the game...
Have you even talked about this?
Liverpool captain Steven Gerrard, speaking to Sky Sports: "I need to accept it, the decision was right. I've let down my team-mates and the supporters. I take full responsibility. I've been in the game long enough when you do something like that. I take full responsibility.Gerard did not deserve a red card, very poor decision by the referee.
Leo Man United walicheza vizuri zaidi ya Liverpool. Walistahili kushinda hii mechi. Liver walikuwa wanapoteza mipira ovyo. Mabao yote mawili ya Mata yalikuwa matamu. Bao la Liver pia lilikuwa zuri.Utamu wa soka ni pale timu inapopata ushindi wa haki na siyo ushindi kama huu, unajua kuhusu ushabiki wangu mimi mara nyingi huwapongeza pale mnaposhinda hata kama ni kutufunga gunners, lakini huu ushindi wa kuwa 12 uwanjani dhidi ya 10 siufagilii kwani nanyi mlistahili kabisa kubaki 11.
Una matatizo wewe, kudhulumiwa hukuona pale ambapo mnafanyiwa nyinyi. Kwa Gerard ni red card lakini kwa Jones si red card kwa makosa yale yale!!! Mpira unastahili kuwa na maamuzi ya haki kwa pande zote mbili na si ya upendeleo huo ndio mpira si huu mpira unaoupigia debe wewe.
Sturrige katupia! Hawa jamaa walikuwa wetu ila basi tu kwa vile wenzetu ndani wako 11 sisi 9! Ona foul za Manure jamaa hazioni kabisa!!
Mkuu ebu Tazama hizi fixtures za team zote mbili kwanza, can they make it???
Man United Fixture
[TABLE="width: 555"]
[TR]
[TD]Liverpool Away
Villa Home
Man City Home
Chelsea Away
Everton Away
West Brom Home
C. Palace Away
Arsenal Home
Hull City Away
Liverpool FC Fixture
Man United Home
Arsenal Away
Newcastle Home
Hull City Away
West Brom Away
QPR Home
Chelsea Away
C. Palace Home
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ha ha ha ha ha yaani umenifurahisha sana hapo, Arsenal anakufa kwetu, wewe pia utakufa darajani maana mmeshapoteana kwasasa!....Yani unataka kusema Man U msimu huu alivyo mbovu atapona kwa City, Arsenal, Chelsea, Kwetu, na kwa Everton
Mkuu naona mgonjwa kaanza kunywa uji mategemeo kibao!Kucheza vyema na Tots sio ndiyo kibali cha kuisumbua Majogoo tena Anfield Kumbuka hata Chelsea alishinda kwa sababu ya refa kuruhusu Cahil ausukume mpira kwa mkono ukielekea wavuni!Cahil alistahili kadi nyekundu na penalty Man U hata sare hapati Anfield na Man U hii hamfungi Chelsea,Man City wala Arsenal
Msiwe na wasiwasi kabisa wakuu!Man U anakaa Anfield kiurahisi mno. Mgonjwa wao kaanza kunywa uji sasa wana matumaini lkn wamesahau kuwa Liverpool alimfunga Spurs 3-0 kwake na 3-2 Anfield. This should be easy one guys
Bado siku 2 tu wenzangu wana wa Anfield tuchukue spot ya 4 ya CL tuanze safari ya matumaini ya kumshusha Arsenal na baadae Man City Man U,Arsenal na Man City hawana namna bali watashuka tu
A very good day dream!! Counting down for the 90mins to decide hii match
Ha ha ha ha ha mind the gap!!Watu wanakuja kimya kimya we kaa na viporo uone
Mechi kubwa kwa BR Mechi kubwa kwa Liverpool Tutashinda
LFC PL FORM SINCE WE LAST FACED MANURE:
Played 13
Won 10
Drawn 3
Lost 0
Goals 24
Conceded 8
Juhudi haziwezi zidi uwezo ndugu yangu Ntuzu Uwezo wa Man U dimbani na beki hizi akina Smalling hata sare hawawezi pata kwangu
Mkuu, Man U jumapili kazi anayo aiseee. Let us wait tu
Di Maria ---- sana
Apart from the referee's poor decisions Man U wali deserve ushindi, Tulifeli kabisa hii game tokea first half. To be fair United wame deserve 3points today. There was a time our midfield was completely out-muscled by the big man Fellaini, we lacked possession, we were giving the balls too easily to our opponents. Both two United goals Moreno was caught out of his position, Mata scored both two goals unmarked.
Eh! Nimekusifia kule, hapa umeharibu. Tukio la kwanza lilikuwa lipi? Na vipi kuhusu Sketi alivyomtimba De Gea dakika za mwisho?!?.
Rooney HAKUMTIMBA keeper Mignolet?
Rooney HAKUMTIMBA keeper Mignolet?
poor analysis, tuko kumi uwanjani mnashinda 2-1 mnasema tulikua wenu?Chifu, saluti kwako. Wewe umeongea kama mpenzi wa soka...wengine wanang'ang'ana na incidence moja utafikiri ndiyo ilikuwa decisive kwa game nzima.
Stevie alikuwa amepania sana ili game..ni game lake la mwisho dhidi ya United katika Liverpool's shirt...alianza kufanya foul kwa Mata, lakini refa akupotezea, kisha akaharibu kwa Herrera....
All in all, leo mlikuwa wetu tu toka mwanzo...sielewi nini kiliwakumba...mimi sikutaraji United i-dictate game kama ilivyofanya leo...na kama LvG angekuwa adventurous kama alivyokuwa SAF, leo mngekula mkono...
bi mariam anadaka mpira uwanjani hakuna hata yellow, upuuzi kabisaMsikilizeni kocha wenu Blandina hapa...halafu uone na jinsi wanazi humu mnavyoumchambua mchezo
Rodgers disappointed | Video | Watch TV Show | Sky Sports
poor analysis, tuko kumi uwanjani mnashinda 2-1 mnasema tulikua wenu?
tunazungumzia game ya leo, hiyo ya 3-0 mna haki ya kusema tulikua wenuMlikuwa 11 uwanjani mkafungwa 3-0,