Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Mr. Wise Gwamahala Malafyale nguvu na Tee Bag pole sn wakuuu.....
Mr. Wise una kipi cha kuniambia kutokana na viungo wako wa kati walivopotezwa kwa muda wote na Mbabu carrick na Herrera na Fellain?....nilisema hili mapema kabisa kabla ya mchezo lkn nikaonekana napiga kelele lkn yametimia....hakuna cha Hender, Allen Coutinho wa Raheem......na bado mchezo wa Arsenal na mtafungwa tena na top four nyie muisahau kabisa....nimekua nawambia kila wakati lkn hamuelewi.....sasaivi ligi imeshaisa kila mtu anakufa na nafasi yake.....kumtoa mtu ktk nafasi yake ni mbinde.......
Nipo safarini lkn nikaona acha nikujibu ili UPOTOSHOJI huu usiendelee
1.Kipindi cha kwanza Man U wametengeza nafasi MOJA tu ya kufunga na wakaitumia vyema kwa Matta kufanya clinical finishing ktk dakika ya 14!Kabla na baada ya hapo Man U walikuwa wanachezea mpira ama kwao au katikati ya uwanja bila madhara yoyote yale!
Nikumbushe unaposema Carrick na wenzake waliwapoteza Liverpool kwenye mido,ni shambulizi gani la maana walilifanya ktk dakika 45 za kwanza zaidi ya bao la Matta?Mtu anayepiga pasi golini kwake au katikati ya uwanja ana madhara gani?
2.Liverpool walifanya shambulizi moja tu la maana ktk kipindi cha kwanza ambapo Lallana alikosa bao la wazi kabisa!Ilistahili tuende halftime tukiwa tumekomboa bao lile so madai kama Liverpool alipotezwa katikati hayaniingii akilini!Man U walipata nafasi moja nzuri ndani ya dkaika ya 45 wakaitumia na Liverpool walipata nafasi moja nzuri zaidi hata aliyo pata Matta tukashindwa kuitumia
3.Kama Man U waliizidi sana Liverpool katikati ya dimba kama unavyodai Ntuzu,Man U wali create nafasi ngapi za wazi dakika 45 za kwanza?
4.Talking point ya ushindi wa Man U leo ni upuuzi wa SG.PERIOD