Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Nipo safarini lkn nikaona acha nikujibu ili UPOTOSHOJI huu usiendelee

1.Kipindi cha kwanza Man U wametengeza nafasi MOJA tu ya kufunga na wakaitumia vyema kwa Matta kufanya clinical finishing ktk dakika ya 14!Kabla na baada ya hapo Man U walikuwa wanachezea mpira ama kwao au katikati ya uwanja bila madhara yoyote yale!

Nikumbushe unaposema Carrick na wenzake waliwapoteza Liverpool kwenye mido,ni shambulizi gani la maana walilifanya ktk dakika 45 za kwanza zaidi ya bao la Matta?Mtu anayepiga pasi golini kwake au katikati ya uwanja ana madhara gani?

2.Liverpool walifanya shambulizi moja tu la maana ktk kipindi cha kwanza ambapo Lallana alikosa bao la wazi kabisa!Ilistahili tuende halftime tukiwa tumekomboa bao lile so madai kama Liverpool alipotezwa katikati hayaniingii akilini!Man U walipata nafasi moja nzuri ndani ya dkaika ya 45 wakaitumia na Liverpool walipata nafasi moja nzuri zaidi hata aliyo pata Matta tukashindwa kuitumia

3.Kama Man U waliizidi sana Liverpool katikati ya dimba kama unavyodai Ntuzu,Man U wali create nafasi ngapi za wazi dakika 45 za kwanza?

4.Talking point ya ushindi wa Man U leo ni upuuzi wa SG.PERIOD
 


Huu si upotoshaji...huu ndio ukweli uliokuwepo ManU waliwadhibi kila idara mkabaki kucheza kwenu mpira wa kuvizia tu mlisukumwa nyuma muda wote na ManU, alafu ManU wakawa bora kuliko ninyi ktk kila kitu....badae nikipata nafasi ntakuja hapa tuliongee hii maana naona unataka kubisha vitu ambavo vilikua wazi......alafu sioni km SG ni wa kumlaumu ktk hili kwasabbu aliingia tayari akiwa ameshapanic....alafu nataka FA watende haki kwa kumfungia beki wanu Martin kwa kumkanyaga kipa wa ManU makusudi kitendo ambacho km mwamuzi angeina ilikua ni kadi nyekudu moja kwa moja km alivompa SG au FA walitoa adhabu kwa Costa tu baada ya kumkanyaga Can?
 
Reactions: Nzi
magnificent Janjaweed Pazi MosDef Tee Bag Asprin Ed n Edd nEddy mr.wise

Tusife moyo wakuu wenzangu na ndiyo soka!Tuinue mioyo tusonge mbele tena proudly kwa walicho kifanya vijana wetu hasa baada SG kutuangusha!

Mechi hii ilikuwa ya mwisho kwa SG kucheza dhidi ya Man u so kuwekwa benchi kulimchanganya sana!Talking point ni kadi hii nyekundu na kwa kweli katuangusha sana!Lkn tuinuke tuendelee

Hakika Simba walikuwa 10 uwanjani na LIVULANA LIMOJA LIJINGA
 

1.Team moja kumtawala mwenzake tunahesabu clear chance walizotengeneza ni ngapi!Haya sijui kutusukuma nyuma hayana maana hata Swansea walitusukuma nyuma

2.Man U walitengeneza nafasi moja tu na wakafunga kipindi cha kwanza=fact

3.Liverpool tulitengeneza nafasi moja tu nzuri tena zaidi ya Man u kipindi cha kwanza tukashindwa kufunga=fact

4.Rooney hakumkanyaga makusudi keeper wetu?Kwa nn Skrtel tu aadhibiwe wakati Rooney alifanya kosa kama lile lle tena yy akitangulia?

Smear campaign against us
 


Na bado Arsenal watawapiga na top four msahau kabisa safari hii. Nimekua nawambia sn hamsikii sas maneno yangu yanatimia kidogo kidogo...na bado....
 
Reactions: Nzi

Aya ManU walpata magoli mawili dhidi yenu...kwa mfumo huo nani alimtawala mwenzake?

kosa la Rooney si sawa na kosa la huyo beki wenu alilofanya huwezi kabisa kuliweka sawa...kosa la Martin ni sawa kosa la Costa kwa Can tunataka haki hapa au Sky sports hawakuliona hili....khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeee ........Jose Mourinho njoo huku uweke neno kwa Martin Skrtel(Sketi)
 
Reactions: Nzi
sikuona kama tulipotezwa dakika zote tisini za mchezo, kama tulipotea basi ni dk30 za mwanzo tu, pale hata ingekuwa yanga ingeshinda ile game ten men, mixer penalt unategemea nini? sisi tukifanya makosa tunaadhibiwa wao refa anaangalia tu, di maria kadaka mpira ndani ya uwanja refa kaangalia tu, jones anacheza rafu za hovyo bila wasiwasi kwani anajua nothin will hapen
 
Kwa yellow card ndio goli la kusawazisha?
Mbona yule uketo aliyemkanyaga David de Gea hakupewa hata kadi, upuuzi mtupu.
rooney alimfanya nini kipa wetu? na penati mkapewa, mbeleko gani hii? hata ndanda fc ingeshinda ile game
 
hata nyie mlitukirimia point sita msimu uliopita, eti rooney katuhurumia! upuuzi mtupu unaongea muulize rooney kacheza mara ngapi anfield na kafunga mara ngapi ndo utajua kama ni huruma au kiwango
 
Nipo safarini dada yangu,narejea Dar kesho so nitakuwa active baada ya masaa 24 +

SG and refa atkinson gave you a game

Safiri salama kaka yangu.....

Kaka hiyo si sababu toka mwanzo tulistahili ushindi lakini hivyo ni vijimambo vilivyotokea tu kukamilisha............ Kaka tugange yajayo.......
 


Ni kweli mkuu, lakini BR alitakiwa aelewe kwa nini tulipotezwa na swans kipindi cha kwanza Ali abadilike lakini yeye akaja na approach ile ile ya kijinga

Moreno anapaswa apewe mapumziko ametumika sana Jana imeonesha.
 
Malafyale habari za tangu jana?hamjambo humu?mnaendeleaje?wazima kabisa?napita tu.
 
Last edited by a moderator:
Liverpool could benefit from Real Madrid's loss in El Clasico this weekend, with Karim Benzema seemingly up for sale as the Spanish giants plot a squad revamp this summer.
According to the-Daily Star, the Reds are on alert for the £40m-rated French international, who is also attracting interest from Paris Saint-Germain after an inconsistent season.

Benzema did grab a superb assist for Cristiano Ronaldo in the 2-1 loss at the Nou Camp, but remains a divisive figure among the club's fans, and one who could leave to make way for a new Galactico signing.

Liverpool still look short upfront after losing Luis Suarez last summer, and Benzema may now leave Real to replace Barcelona's matchwinner at Anfield.
 
Tumeshinda but am not happy. We need to do a lot better than this shit on Sunday vs Manure.

Wachezaji karibu wote leo walikuwa off-colour....credit to BR for that magic half time team talk.

Baada ya kuona ile disappointing performance vs Swansea (japo tulishinda)I lost some of the faith I had with this team. Kwenye lile game kulikuwa na kila dalili za cracks tulizokuwa nazo mwanzoni mwa msimu huu.

So, this result vs Manure....I saw it coming na ndio maana kwa kweli sikuangalia hata dakika 1 ya hili game. Huwaga naumia sana tukifungwa na Manure kuliko team yoyote ile, na huwa nakuwa devastated nikishuhudia hilo likitokea kwa macho yangu.

Forget top 4 this season...tuki-improve kidogo tunaweza kubahatisha FA cup.

Before Swansea, it's the same players and same formation ndivyo vimetufanya tuitwe the in-form EPL team of 2015. Sasa nini kimetokea? The answer is simple - we don't have class in our team (ukimuondoa the ageing SG). Instead we just have a bunch of averages ambao huwa wanapitia notable highs but quickly revert to their devastating lows.

FSG therefore need to go into the market and spend big in the summer or else sell the club to the Arabs NOW!!
 
Malafyale mkuu bado naimani na timu yangu 8 games zilizobaki si haba zingekuwa zimebaki 3 labda ningesema siyaoni matumaini pale top 4 gap la 5 points to 6 points siyo ishu. Anything can happen at anytime

Jana some players walikuwa out of form tu

I believe we can build up again our spirit and win another more game to challenge top 4

HERE WE GO AGAIN
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…