6 goals and 7 assists in more than 30 games ktk EPL,FA,Carling na CL.Still mnaweza kutengeneza hela nyingi kama mtamuuza kwa sasa
6 goals and 7 assists in more than 30 games ktk EPL,FA,Carling na CL
Stats hii team gani itampa hela kubwa huyu mtoto?
Mtoto kasema hataki hela anataka vikombe, uko hapo kaka???? Mtoto huyu kanifurahisha sana......
Ulishawahi kumsikia mchezaji anasema moja kwa moja kuwa si sign mkataba kisa ni maswala ya fedha?
Mtoto kasema hataki hela anataka vikombe, uko hapo kaka???? Mtoto huyu kanifurahisha sana......
Hahaaa mtani tuache na yetu..... Kwa rumors nimesikia Arsenal ndo wanamnyatia kwa karibu zaidi sasa sijui anataka vikombe gani:what::what:
Mtani halafu siku hizi hata hunipendi yaani tokea siku ile ya jumapil upendo umepoa kabisa,lol
Huyo dogo atakuwa anakuruka mkojo anakanyaga kinyesi bora tu aendelee kubaki na nyie.....
Mtoto kasema hataki hela anataka vikombe, uko hapo kaka???? Mtoto huyu kanifurahisha sana......
Hahaaa mtani tuache na yetu..... Kwa rumors nimesikia Arsenal ndo wanamnyatia kwa karibu zaidi sasa sijui anataka vikombe gani:what::what:
Basi aende Barca au Madrid au Bayern maana hao ndiyo wana uhakika wa kombe
Swali je ana quality kuchezea teams hizo
noo hatumtaki, Walcot ni mzuri zaidi yake
Injury free Walcot vs injury free Sterling?
I will pick Walcot right away!
Mpwa kisa yale mambio au?
Sterling ana nn cha kumzidi Walcot?