MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Raheem kwa sasa is miles better than Walcott!
BR is wasting him kwenye Wingback just to accomodate lallana and Danny ambao wamekuwa mzigo kwenye team, just because of lallana/sturridge, the master of this 3-4-3, Markovic anakuwa dropped, wakat ndo anaiweza wingback vizuri.
Lallana na Danny wakianza dhidi ya Arsenal tunapigwa tena kirahisi sana, coz coutinho atakuwa na space ndogo, raheem will be wasted kwenye wingback as usual, moreno atatoboka kama kawaida coz Danny ndo atakuwa upande wake, so atakuwa ni mzigo tu kwa alberto katika kucover baadhi ya mipira!!!!
Danny anahitaji match fitness ya ziada, but kocha anamwanzisha kwenye game ngumu, jamaa hana pace, wala hapress kama kawaida yake coz bado hajarud vizuri and this 3-4-3 inahitaji mtu ambaye yupo fasta pale mbele, and thats Raheem!!!
Lallana and Danny shouldnt start against Arsenal!