Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na winga ya kulia je? Au leo mtacheza na 4 at the back?
Maana nimetoka kumsoma mchambuzi mmoja huko Eurosport, katumia data za Whoscored.com kuonesha how vulnerable your right wing is kwenye matches zote mlizopoteza mwaka huu (2015)

even markovic can offer a better option that studge starting this game

4-3-3 is a better option for today with Johnson/Manquillo/Flano playing as the fourth defender
 
Just like manure game... chances ni 50/50, we lost the manure game so hata hii tunaweza kupoteza

we havent won at the emirates for a long time sasa

Poleni sana loserfool but leo niko upande wenu, vunjeni huo mwiko wa kutoshinda Emirate
 
teh teh teh... naona vipofu wameona mwezi, kazi tunayo mwaka huu

Historia haidanganyi nyie kumaliza juu yetu last season ilikuwa kama kuokota almas kibarazani. Misimu yote mmekuwa mkitubeza kila kukicha huku tukinyakua vikombe.
Sasa tunarudi tena kwenye harakati zetu, this time tukisaka kucheza uefa tu. Next season nadhani unajua tutakuwa tushaimarika vya kutosha so heshima itachukua mkondo wake.
 
Kwa nini mechi nyingi Liverpool ikicheza na timu kubwa huwa zinachezwa mchana?
 
Msiwe na wasiwasi jamani!Lucas 100% fit na vijana wote wamerudi international break wakiwa fit!Nina imani leo tutapata matokeo mazuri

Tuombe na kufunga na kusali kwa kila mtu na dini yake

Mnaomba na kufunga against Arsenal.. teh teh teh teh..
 

Ni kweli
 

Attachments

  • 1428141681598.jpg
    29 KB · Views: 113
teh teh teh... naona vipofu wameona mwezi, kazi tunayo mwaka huu
Sasa kati ya Looserfool na Man u nani ameona mwezi misimu mingapi imepita hamkucheza UEFA, misimu huu tu kucheza ndio mnajiona mmerudi kwenye peak...
 
Kwa nini mechi nyingi Liverpool ikicheza na timu kubwa huwa zinachezwa mchana?

Ukienda kucheza kamali na kina Janjaweed huku ukijua fika kuwa maumivu ni guaranteed, ukila utachezea kibano, ukiliwa unaweza ukachezea makonzi vilevile, utachagua muda gani? Si bora mchana ukizidiwa hata njia inaonekana!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…