If you cant support us when we loose,dont support us when we win.. Bill shankly.
Ila kiukweli timu yangu inanipa huzuni,sijui huwa tunakosea wapi. Maana kila tumalofanya ni bure kabisa.
"Nlikuwepo":bolt:
Pole sn mkuu!
The most interesting part in this scenario, is seeing chelsea fans bantering Liverpool fans!
Its like Kim kardashian bantering Beyonce!
#pathetic
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Haya huyu sterling sijui kwa nini BR anamng'ang'ania huyu msen.ge sana
Teh teh teh majongoo hayafungwi popote pale yakiwa 11 .....kwi kwi kwi kwi kwiHuwezi kuwa kocha wa mafanikio kama ww kuifunga ni Sunderland na teams are likes
Why Kolo leo?Why?
Liver fukuzeni kocha.
Huyu kocha ni kuondoa tu, hajui hata kusoma mchezo, huwezi toa marcovic ukamuwacha Lucas, toa Lucas can mrudishe kati nje yupo flano, Johnson na lorven
Leo Blandina anapondwa 😳
Juzi juzi tu hapa mlikuwa mkijitapa na rekodi yenu ya mwaka 2015, mkisema Blandina ameshakomaa!!
Nyiye Loserfools mna matatizo sana nyiye!!
Okay. I didn't know that!
Loserfools a.k.a Beyonce 😂😂😂
Teh teh teh wafukuzwe woteWachezaji na Manager
Kuwa shabiki wa LFC unahitaji kuwa na moyo wa chuma aisee.