Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Karibuni OT sasa maana mkopo wangu umeisha kule loserfool.
Hongera Arsenal kwa ushindi mnono.
Poleni loserfool kwa kipigo cha aibu.
 
Yaa GAME is over aisee
Nyumbani hapakaliki leo maana wife ni Arsenal,heri nifungwe na yyt sio Arsenal

Anyway nitashinda Bar nirudi home usiku wa manane kaisha lala ingawaje nitakuta kitandani katandika mashuka ya Arsenal

BR siyo kocha msaidizi tu wa mazoezi
Rafiki zako wanakutafuta kule jukwaa la Mbu na Wacha1 mkachambue mpira baada ya dakika 90 za 4-1.
 
Arsenal walikuwa bora dimbani kwenye kila idara zaidi yetu!Pengo la Skrtel na SG limeonekana dhahiri

Bao la kwanza Kolo Toure mguu umekataa kupinduka,goli la 2 na la 3 Mignolet alijipanga vibaya na bao la 4 sababu tuliisha kuwa pungufu
 
Poleni sana bado mna FA mkikaza mtalipa kisasi.
 
I wil always be a fun we lost but life goes on,mi nafikiri hakuna mtu wa kumlaumu,the whole team was very. poor.!
 
Nonda yani nimecheka sn mkuu! Malafyale kiboko mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom